stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 807
- 1,748
Ana mzigo wa bamia kama unahitaji anakufanyia deliverynamba za nin tena jaman
wakati umeshatoa somo
Muwe mnapigiana simu usikunamba za nin tena jaman
wakati umeshatoa somo
mie mwenyewe bamiaAna mzigo wa bamia kama unahitaji anakufanyia delivery
Nendeni mkang'atwe vichwaninamba za nin tena jaman
wakati umeshatoa somo
😂😂😂Nendeni mkang'atwe vichwan
Kwanini haziongezi nguvu za kiume, nyege na wingi wa shahawa?Faida za kula bamia:
- Husaidia kudhibiti kiwango cha sukari mwilini (nzuri kwa wagonjwa wa kisukari)
- Ina nyuzinyuzi nyingi (fiber) zinazosaidia mmeng'enyo wa chakula na kuzuia choo kigumu
- Husaidia kupunguza lehemu (cholesterol) mbaya mwilini
- Ina vitamini C nyingi zinazoimarisha kinga ya mwili
- Ina vitamini K muhimu kwa kuganda kwa damu na afya ya mifupa
- Ina antioxidants zinazolinda seli za mwili dhidi ya uharibifu
- Husaidia afya ya moyo kwa kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo
- Ina asidi ya folic muhimu kwa wajawazito (huzuia matatizo ya uti wa mgongo kwa mtoto)
- Kiwango kidogo cha kalori, hivyo nzuri kwa udhibiti wa uzito
- Ina madini kama potassium, magnesium, na calcium
- Husaidia kuboresha afya ya ngozi
- Ina uwezo wa kupunguza uvimbe mwilini (anti-inflammatory)
Kwanini mkuuKwajamiii yetu ni kosa kubwa mwanaume kula bamia
Unatokea kusini??😃Kwajamiii yetu ni kosa kubwa mwanaume kula bamia
Same kwa Anko wangu....Watoto wadogo na mlenda sijui huu ushirkiano wametoa wapNapenda sana bamia nimemrithisha na mwanangu, ukitaka ale ugali pika mlenda atakula hadi unafurahi maana hapendi kula