Faida wanazopata AyoTV,Dizzim TV online,DAUDA TV na youtube channels za wasanii kama Diamond platnumz na wengine.

Aiseee Wakuu nimekuwa interested Sana na njia hii ya kujiajiri,so huwa naingia Sana YouTube kucheki lakini sijui ni wapi pa kupata hio form msaada please.
 
Hesabu zipi ulizopiga ambazo unasema ni kwa Tanzania?! Binafsi sijaziona zaidi ya kusema mtu akipata views 5M, basi anaweza kuingiza kama TZS 7M!

Ukimchulia Themagufulianz kwa mfano! Yeye anatumia data za Socialblabe!

Ukimchukulia mtu kama Millard Ayo wanakuambia makisio ya mapato ya kwake kwa mwaka ni kati ya Dola 64,000 hadi dola 1M!!

Sasa ni makisio gani ambayo yanaweza kutoa margin error kubwa kiasi hicho?!

Mchukulie YouTuber kama alivyo Dude Perfect! Mwaka jana ilitangazwa aliingiza about 20M (USD) lakini estimation za Socialblade zinaonesha yearly earnings ni kati 818K to 13M (USD)!

Ukimtoa PewDiePie, list ambayo ilitoa na Forbes karibu wote walikuwa above na estimation za Socialblade! Yaani pamoja na estimation zao kuweka gap kubwa mno, lakini bado uhalisia unakuwa nje ya hilo gap!!
 
Hawajui maana ya bilioni hawa wanalinganisha na vitumbua!!
 

millard alishahojiwa na akasema moyo wake upo clouds: yule jamaa anapenda kazi yake( in other words ni passion yake) , sasa mtu anaefanya kazi kwa passion hua ni vigumu kumwangalia kwa jicho kma unalomwangalia wewe, alishawahi kufanya kazi zanzibar miaka 2 halipwi ata kumi , usiangalie kwa jicho unaloliona wewe, people are different
 

mkuu umesema kwel kabisa: lakini pia ata kwa bongo unaweza ukapata more than mtu aliepata japan, ni game of chances: kama leo umepata tangazo lenye ela ndefu mtu akakclick na kule japana mtu akaskip, unakua mbele kwa pointi nyingi sana
 
Redio zinafutwa na social media mkuu... mambo ya redio na mitambo na watumishi 200 yanapotea kabisa.... social media has taken over... yuko vizuri alipo making more money with less cost.... Hajikufungua redio yake never.... smartest kid in bongo
jamaa nilimsikia kwenye interview mojainaitwa Sporah Show akisema ameshanunua vifaa vya radio, lakin hajafungua bado kwa kuwa bado anahisi ana deni na clouds sababu walimtoa mbali
ila ulichosema ni kweli kufungua redio kipindi hiki ni gharama sana halafu pia usikilizaji umepungua sana, social media ndio future ya habari
jamaa ana wafuasi kama milioni 10 kwenye mitandao yake ya kijamii, sidhani kama anahitaji radio au tv
 

ni kweli social media zmekua sana ila bado hazijaweza kua tishio kwenye media kama tv na redio haswa uku Africa: wengi sana bado wanatumia redio haswa vijijini, ukiangalia kwa tz mfano, vijiji ni vingi sana kuliko miji, bado hazijawa tishio kwa izi local radios
 
MUHIMU:YOUTUBE WANAKWAPUA 45 % WANAMWACHIA MTANGAZAJI 55%, UKIPATA HIO DOLA 55 UJUE YOUTUBE WAMECHKUA DOLA 45.

Naendelea kugongelea msumari, hapa tunazungumzia mapato kibongo bongo, hao kina pewdie pie na dude perfect wana viewers nyingi nchi za tier one na two ambako wenye tangazo wapo tayari kutoa hata dola elf 5 endapo tangazo litawafikia viewwers wa nchi hizo na wapo tayari kutoa hata cost per click ya dola 5 endapo mtu wa nchi hizo ata click tangazo.

Kwa hapa bongo kwa content za kibongo huwezei kufananisha na kina pewdie pie kwasababu makampuni ya huko marekani mfano mabenki yasiyo na mayawi hapa bongo huwa wanabana matangazo yao yasionekane bongo, kitachotokea ndio haya matangazo tunayoyaona ya makampuni ya tanzania ambayo na wahindi ambao wapo tayari kulipa dola 40 hadi 80 kwa views elf moja na cost per click ya dola 0.02(shilingi 40) endapo mtu ataclick tangazo.

Unachanganya mambo hapa, youtube na wenye tangazo ni tofauti, hela anayopokea mwenye channel ya youtube inaamuliwa na dau alilotoa amaehitaji bidhaa yake itangazwe, Youtube anawakutanisha hawa watu na kuseti mitambo matangazo yaonekane.

Huwezi kulipwa dola elf 5 kwa views milioni kama mtangazaji kaamua kutoa dola 70, hii ndio inapelekea watu wa hapa tz waanze kutengeneza video zitazopata watazamaji wa marekani na ulaya ili wapate mpunga mrefu.

Najuana na Youtubers wengi hapa bongo, na nimewah kuona live mapato yao kwa hio sijaropoka, nimefanya tahmini haya mambo.

Kwa masaa 24 yaliyopita millard kaweka videos 40 na hii bidii ndio matunda yake, inamfanya apate takribani viewers milioni 20 kila mwezi, kwa hizi views kaka yetu anavuta milioni 30 na zaidi, huyu ana watazamaji ]]wa ziada wanaoishi ulaya na marekani wanao busti mapato yake
 

atleast umeongea on point
 
Yaani nimemwajiri mtu dukani kwangu (mawingu) wakati huo huo nimemchukua kutoka duka la jirani (kwa Mengi) na amekuja kwangu kwa ajili ya kusaka maslahi na sio jina coz kama jina alilipata kwa mzee Mengi.
Kapata maslahi then kaanzisha biashara inayofanana na yangu na ni maarufu sana.
Halafu eti aendelee kufanya kazi kwangu kwa vile eti analipenda sana duka langu na ndio limdmwinua!
Kama hiyo hesabu ina ukweli, basi kuna siri kuhusu umiliki.
 
Redio zinafutwa na social media mkuu... mambo ya redio na mitambo na watumishi 200 yanapotea kabisa.... social media has taken over... yuko vizuri alipo making more money with less cost.... Hajikufungua redio yake never.... smartest kid in bongo
jamaa nilimsikia kwenye interview mojainaitwa Sporah Show akisema ameshanunua vifaa vya radio, lakin hajafungua bado kwa kuwa bado anahisi ana deni na clouds sababu walimtoa mbali
ila ulichosema ni kweli kufungua redio kipindi hiki ni gharama sana halafu pia usikilizaji umepungua sana, social media ndio future ya habari
jamaa ana wafuasi kama milioni 10 kwenye mitandao yake ya kijamii, sidhani kama anahitaji radio au tv
 
mbna ni kawaida sana: kuna wasanii wana hela za kutosha na bado wako chini ya label mbna, tatizo we unataka mtu mawazo yake yafanane na yako: wakina kanye west yeye na mke wake wana mahela mpaka hawajui wapeleke wap ila bado yupo chini ya label, ally mafuruki na kua kote miongoni mwa matajiri wakubwa Tanzania ila bado yuko kwenye makampuni ya watu: we vp mkuu
 
sasa kumbe social blade huwa ana underestimate basi.! Millard atakuwa anapiga zaid ya hiyo.hahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…