Dividents kwa wana hisa walikuwa wanazitoaje kama hawakupata faida?kumbe hii mambo bado mbichi, tusianze kusherekea wakati bado tupo gizani , tumetanguliza strust kwa each side na trasparence pia ila hawa jamaa hawajawahi kuwa na urafiki na mtu. What their after ni max profit , Tusiwaamini sana, kama ni kweli tunacho gawana ni faida na ambayo hawajawahi ipita , hili jambo waliweke sawa nikibidi lijadaliwe bungeni .. Tusije badaye tuka anza rushiana lawama.
Dah kwa kweli, wawaambie tu kwa kuwa kila mwaka wamekuwa waki report losses basi itakapopatikana faida tutagawana 50/50 ila kwa sasa waendelee na utaratibu wa kulipa royalties tu.
Kwa hiyo magu ni Mungu? Acha kufuru, kila MTU ana uhuru wa kutoa maoni hata kama hayapendezi kwenye masikio na akili za wengine!Acha uzuzu, usalama wa taifa watakuwemo kwenye uhasibu mpaka board. Yaani kwa ufupi Mungu alishaamua kuikomboa Tz, ukimpinga Dkt Magufuli unampinga Mungu.
Naendelea kukuona mpumbavu kwa sababu unashindwa kutambua kuna tofauti kubwa kati ya operations za sole propreator (ulichokieleza hapo kwenye mashudu yako) na corporation (case ya ACACIA). Nakushauri jifunze basics za accounts na ujue tofauti ya operations kati ya hizo aina mbili za forms za biashara then njoo hapa tujadiliane.Mkuu ujinga ni mzigo sana na Magufuli ana kazi sana katika hili...
Nikuuilize swali moja kama wewe sio mjinga na mpumbavu utalijibu..
Hivi ukiwa na biashara yako umewekeza mtaji wa shilingi 100,000. Mwaka mzima umefanya biashara, mwisho wa mwaka ukaja piga hesabu ukakuta umepata faida ya shilingi 20,000 baada ya kuondoa matumizi yote. Ina maana utakuwa na 100,000 + 20,000 = 120,000 wakati wa kuanza mwaka mpya wa fedha. Hii 20,000 unaweza kuiondoa ukafanyia mambo yako mengine (dividend) au ukaiongezea kukuza mtaji (Capitalization of profit)
Chukulia kinyume chake. Ukiwa na biashara yako umewekeza mtaji wa shilingi 100,000. Mwaka mzima umefanya biashara, mwisho wa mwaka ukaja piga hesabu ukakuta umepata hasara ya shilingi 20,000 baada ya kuondoa matumizi yote. Ina maana utakuwa na 100,000 - 20,000 = 80,000 kwa maana ya kwamba umetumia kingi zaidi ya kile ulichozalisha na ziada ya matumizi yako imetokana na pesa ya mtaji. Wakati wa kuanza mwaka mpya wa fedha utakuwa na shilingi 80,000 ya mtaji kwa maana ya kwamba matumizi yako yamekuwa makubwa hadi umetumia pesa za mtaji.
Hivi huwa unaelewa nini unaposikia watu wakisema amekula mtaji, amefilisika!!!
Mkiitwa Vilaza mnakasirika pumbavuu kabisa.
Mpumbavu mwenyewe kama hauelewi endelea kubaki nyumbu na ujinga wako napoteza muda wako kumpigia mbuzi gitaa.Naendelea kukuona mpumbavu kwa sababu unashindwa kutambua kuna tofauti kubwa kati ya operations za sole propreator (ulichokieleza hapo kwenye mashudu yako) na corporation (case ya ACACIA). Nakushauri jifunze basics za accounts na ujue tofauti ya operations kati ya hizo aina mbili za forms za biashara then njoo hapa tujadiliane.
Jeremiah muriro afike hapa, this is what we call a home of GTsNianze kwa kutoa pongezi ya dhati maana kulipwa asilimia 0.156 ya tulichokuwa tunadai si haba! Lakini LA maana zaidi ni yale maboresho mbele ya safari!
Lakini kuna mtego mbaya kwenye haya makubaliano! Sijui kama hilo limewekwa sawa. Unaposema mtagawana faida nusu kwa nusu maana yake ni kuwa hata hasara mtagawana nusu kwa nusu! Vinginevyo iwekwe wazi kuwa faida tutagawana sawa ila hasara itabebwa na mwekezaji, kitu ambacho mwekezaji si rahisi kukikubali maana hakiendani na logic!
Ikumbukwe kuwa wameahidi kugawana faida ambayo mpaka sasa kwa mujibu wa CAG hawajawahi kuipata ndio maana hawajawahi kulipa kodi itokanayo na faida! Ila miaka yote "vitabu" vyao huonyesha wamepata "hasara" kubwa tu! Kwa hiyo kama haya makubaliano yakawa "back-dated" tangu walipoanza kuchimba dhahabu, hakuna hata senti moja ya faida ambayo tutagawana, ila kuna mamilioni ya dola ya hasara ya kugawana pia!
Labda waanze kuzalisha faida kuanzia Leo, vinginevyo tutegemee kugawana hasara badala ya faida!
Kitakachotokea tusipoliweka hili sawa ni kuwa tutajikuta tumepelekana mahakamani tutakapogoma kugawana hasara wakati tulikubali kugawana faida! Mahakama itatafsiri kwa logic tu kuwa kama faida tunafaidi nusu kwa nusu maana yake ni kuwa na hasara tufaidi nusu kwa nusu! Hapo ndipo ile sh. bilioni 700 itakapotutokea puani maana hasara "itatengenezwa" kubwa kuliko hiyo!
Angalizo: Iwepo sentensi kabisa inayosema " tutagawana faida tu lakini hasara ni mzigo wa mwekezaji". Huo mtego tukiutegua mapema nina uhakika watakataa na majadiliano yataanza upya!
Mani alikudanganya kuwa wao hawavuti au hawawezi kuwa corrupted!!Acha uzuzu, usalama wa taifa watakuwemo kwenye uhasibu mpaka board. Yaani kwa ufupi Mungu alishaamua kuikomboa Tz, ukimpinga Dkt Magufuli unampinga Mungu.
Wanachojua ni kugawana faida tuuLumumba hawapendi kusikia huu ukweli, akili zao ziko reverse , wana UKUKU
usalama wa taifa watakuwepo mpaka kwenye board.... Leme reserve my comment..... Hivi hii sindimba tuliyochezeshwa hamjaisoma tuu?Acha uzuzu, usalama wa taifa watakuwemo kwenye uhasibu mpaka board. Yaani kwa ufupi Mungu alishaamua kuikomboa Tz, ukimpinga Dkt Magufuli unampinga Mungu.
hasara kwani tunanunua madini na kuuza sisi sio madalali pumbavuuuNianze kwa kutoa pongezi ya dhati maana kulipwa asilimia 0.156 ya tulichokuwa tunadai si haba! Lakini LA maana zaidi ni yale maboresho mbele ya safari!
Lakini kuna mtego mbaya kwenye haya makubaliano! Sijui kama hilo limewekwa sawa. Unaposema mtagawana faida nusu kwa nusu maana yake ni kuwa hata hasara mtagawana nusu kwa nusu! Vinginevyo iwekwe wazi kuwa faida tutagawana sawa ila hasara itabebwa na mwekezaji, kitu ambacho mwekezaji si rahisi kukikubali maana hakiendani na logic!
Ikumbukwe kuwa wameahidi kugawana faida ambayo mpaka sasa kwa mujibu wa CAG hawajawahi kuipata ndio maana hawajawahi kulipa kodi itokanayo na faida! Ila miaka yote "vitabu" vyao huonyesha wamepata "hasara" kubwa tu! Kwa hiyo kama haya makubaliano yakawa "back-dated" tangu walipoanza kuchimba dhahabu, hakuna hata senti moja ya faida ambayo tutagawana, ila kuna mamilioni ya dola ya hasara ya kugawana pia!
Labda waanze kuzalisha faida kuanzia Leo, vinginevyo tutegemee kugawana hasara badala ya faida!
Kitakachotokea tusipoliweka hili sawa ni kuwa tutajikuta tumepelekana mahakamani tutakapogoma kugawana hasara wakati tulikubali kugawana faida! Mahakama itatafsiri kwa logic tu kuwa kama faida tunafaidi nusu kwa nusu maana yake ni kuwa na hasara tufaidi nusu kwa nusu! Hapo ndipo ile sh. bilioni 700 itakapotutokea puani maana hasara "itatengenezwa" kubwa kuliko hiyo!
Angalizo: Iwepo sentensi kabisa inayosema " tutagawana faida tu lakini hasara ni mzigo wa mwekezaji". Huo mtego tukiutegua mapema nina uhakika watakataa na majadiliano yataanza upya!
Umesema vema kwa hiyo kama hasara inaenda kuathiri mtaji mojakwamoja hata zileshare zetu 16% ,itaathirika.Mkuu ni bora umeuliza maswali kuliko kutoa hitimisho.
Tambua Magufuli amekuwepo Serikalini kama Waziri kwa miaka 20 kwahiyo yeye binafsi anaijua hii michezo. Pia sasa hivi ana mfumo unampatia taarifa ya kila kitu kwani Usalama wa Taifa ana wataalamu waliobobea katika kila nyanja.
Sasa basi kwa haraka haraka katika mambo yaliyowekwa wazi jana ni kwamba wamekubaliana kuwe na kamati ndogo itayoendelea kujadiliana kuhusu malipo ya kodi husika alizotakiwa kulipa ACCACIA na hakulipa kipindi cha nyuma, Tutamiliki asilimia 16 (16%) ya share kama sheria mpya ya mwaka 2017 inavyotaka, Tutakuwa na mgao wa faida wa asilimia 50 (50%), tambua kuwa hasara huwa haigawanyi bali huwa inaenda kuathiri mtaji wa mwekezaji. Shughuli za uendeshaji Serikali itashirikishwa kuanzia kwenye Bodi ya Migodi yote mitatu inayomilikiwa na Barrick/ACCACIA ambayo ni Buzwagi, Kakola na North Mara a.k.a Nyamongo.
Mgodi wa dhahabu usiomilikiwa na Barrick ni GGM Geita na ameagiza majadiliano yafanyike.
Nianze kwa kutoa pongezi ya dhati maana kulipwa asilimia 0.156 ya tulichokuwa tunadai si haba! Lakini LA maana zaidi ni yale maboresho mbele ya safari!
Lakini kuna mtego mbaya kwenye haya makubaliano! Sijui kama hilo limewekwa sawa. Unaposema mtagawana faida nusu kwa nusu maana yake ni kuwa hata hasara mtagawana nusu kwa nusu! Vinginevyo iwekwe wazi kuwa faida tutagawana sawa ila hasara itabebwa na mwekezaji, kitu ambacho mwekezaji si rahisi kukikubali maana hakiendani na logic!
Ikumbukwe kuwa wameahidi kugawana faida ambayo mpaka sasa kwa mujibu wa CAG hawajawahi kuipata ndio maana hawajawahi kulipa kodi itokanayo na faida! Ila miaka yote "vitabu" vyao huonyesha wamepata "hasara" kubwa tu! Kwa hiyo kama haya makubaliano yakawa "back-dated" tangu walipoanza kuchimba dhahabu, hakuna hata senti moja ya faida ambayo tutagawana, ila kuna mamilioni ya dola ya hasara ya kugawana pia!
Labda waanze kuzalisha faida kuanzia Leo, vinginevyo tutegemee kugawana hasara badala ya faida!
Kitakachotokea tusipoliweka hili sawa ni kuwa tutajikuta tumepelekana mahakamani tutakapogoma kugawana hasara wakati tulikubali kugawana faida! Mahakama itatafsiri kwa logic tu kuwa kama faida tunafaidi nusu kwa nusu maana yake ni kuwa na hasara tufaidi nusu kwa nusu! Hapo ndipo ile sh. bilioni 700 itakapotutokea puani maana hasara "itatengenezwa" kubwa kuliko hiyo!
Angalizo: Iwepo sentensi kabisa inayosema " tutagawana faida tu lakini hasara ni mzigo wa mwekezaji". Huo mtego tukiutegua mapema nina uhakika watakataa na majadiliano yataanza upya!
Kasome utoe tope ndani ya hilo fuvu, umeishiwa hoja sasa unaanza vijembe, mimi siasa zenu uchwara hazinihusu hapa nawaelimisha tu mazwazwa kama wewe ili tusaidie kuwafuta ujinga na mavi kwenye hayo mabichwa yenu mkulu hata akiongoza karne nzima mimi hainisumbui wala kuniathiri at allBill said:Mpumbavu mwenyewe kama hauelewi endelea kubaki nyumbu na ujinga wako napoteza muda wako kumpigia mbuzi gitaa.
Na kwa taarifa yako usiyempenda atabaki Ikulu mpaka 2025 ndo utakapojua hiyo faida inapatikanaje
Unakaribia kufikia kufuru, kuwa mwangalifu.Acha uzuzu, usalama wa taifa watakuwemo kwenye uhasibu mpaka board. Yaani kwa ufupi Mungu alishaamua kuikomboa Tz, ukimpinga Dkt Magufuli unampinga Mungu.
waongo huwa ni wasahaulifu.Nianze kwa kutoa pongezi ya dhati maana kulipwa asilimia 0.156 ya tulichokuwa tunadai si haba! Lakini LA maana zaidi ni yale maboresho mbele ya safari!