Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 7,442 Reaction score 12,709 Oct 9, 2025 #2 Ndoa haijawahi kamwe kuwa na faida zaidi ya hasara tupu, naimani nimeeleweka sihitaji maswali mengi.
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,857 Reaction score 89,745 Oct 9, 2025 #3 Inakuwaje unaliwa bure wakati mahari ilitolewa Hata hivyo tulipewa bure so kutoa bure sio kesi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 165,751 Reaction score 184,585 Oct 12, 2025 #4 Ngoja waje kama wapo... Cc: Mahondaw
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 71,944 Reaction score 177,160 Oct 12, 2025 #5 Smart911 said: Ngoja waje kama wapo... Cc: Mahondaw Click to expand... Ndoa tamu ndoa ni baraka