Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mwenye kazi na kipato kizuri

Jipange kumfungulia mlango katoka kikaoni saa 7(kuchapiwa)

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume kuogopa mwanamke msomi ni inferiority complex inamsumbua. Na naona idadi ya wavulana wanaoogopa wanawake wasomi inazidi kuongezeka, kila siku wanakuja na mada za kutetea ujinga, za kutetea wanawake wasiende shule wakiamini ndo wake bora.

Kama unataka mke mjinga more power to u, na Binti yako usimpeleke shule awe mjinga ili awe mke bora pia.
Wanawake wasiosoma/wasio na vipato (wengi wao), sio kwamba ni wana Uvumilivu wa kutoka moyoni, ni vile tu anatamani kuondoka ila haelewi ataanzia wapi as ni tegemezi kwa mumewe 100%. Kwa hiyo havumilii, ila anaamua tu kuzoea shida siku akipata pa kujishikiza atasepa tu. Na ndo wanaume wengi weak wanapenda wake wa namna hii, ili hata wanapowanyanyasa waendelee tu kuwanyenyekea. Ila ukimpata mwanamke who knows her worth, hata akiwa hana kipato there is no way utammistreat akakuchekea.

Mwanamke mwenye kipato, lazima uishi naye kwa adabu, atakuvumilia kwenye shida za msingi sio kwenye upuuzi. So usitegemee umnyanyase afu aendelee kukunyenyekea. Financial independence ni ya muhimu sana kwa wanawake. Na a strong man ni yule anayesupport ndoto za mkewe, sio anayeziua kisa anataka anyenyekewe as his self esteem is too low. And mke mwema ni yule anayebalance vizuri kazi na familia yake.
 
Faida unaitengeneza mwenyewe vile vile hasara unaitengeneza mwenyewe,,usithubutu kuoa ili upate furaha,utajuta,katu furaha haitoki kwa mume wala mke,inatoka ndan mwako wewe mwenyewe. Fikr zako ndio maisha yako so akil kichwan mwako.
Hivyo aoe ili apate nini?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kama umesoma chuo na kuona maisha wanayoishi madada zetu, ndio utajua kuna kalahaa ipi? ya kuwaoa hawa Dada zetu wa Chuo, wengi mahostel, wanafanya ngono zembe sana, sasa ndio ubebe huo mzoga ukauweke ndani, baada ya mwezi mshazinguana tuuu

Mkuu tufanye kampen.
KUOA MWANAMKE ALIYEFIKA CHUO KIMASOMO NOOO?
 
Ukiwa na mke msomi uweke kwenye akili yako kuwa unaishi na equal partner nyumba moja ambae mnasaidiana kwa shida na raha na si mke.

Hii inamaana unaweza kupika chakula cha familia wakati yeye amelala au anaangalia movie movie na yeye anachoka kama unavyo choka wewe. Si mambo ya mama Ashu nipo vie pasi ninataka kutoka hapana kama unaweza pigs pasi mwenyewe.

Uzuri wake mama Ashu anaweza kukupa tough kwenye ile kesi yako solicitor alisema 3mil kwanza kabla haja za kazi.
Hapana Dada,labda mtazamo wako tu,na kama unawaza hvyo jaribu Ku switch,maisha ya mahusiano hutegemea makuzi,malezi,na Mapokeo ya wanamahusiano juu ya maswala yao yaliyo wazunguka..!!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hapana Dada,labda mtazamo wako tu,na kama unawaza hvyo jaribu Ku switch,maisha ya mahusiano hutegemea makuzi,malezi,na Mapokeo ya wanamahusiano juu ya maswala yao yaliyo wazunguka..!!

Post sent using JamiiForums mobile app
Wanawake wasomi wengi hawa submit kwa waume zao, mama anatoka kazini anakaa kwenye kochi awekewe chakula na dada kama anavyowekewa baba
 
Wadau naomba tujadili hili Kwa kuwasaidia ambao hawajaoa wanajiandaa kuoa.Je kuna FAIDA gani Mume atazipata Kwa kumuoa Mwanamke mtumishi msomi na HASARA atakazozipata Kwa Mwanamke huyo huyo msomi akimwoa?

Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu omba mungu upate mwanamke muelewa tu, hata kama ameisha form 4 au la saba , ambaye mnasikilizana na kuheshimiana , ambaye mnaweza kupambana pamoja katika hili wimbi la utafutaji wa maisha tu, hata kama ukiyumba anaweza kukusaidia kwa njia moja au nyingine , nahisi utakuwA na furaha ya moyo zaidi, hayo ya kusoma sana ni ziada tu katika maisha, ni suala la kumuomba mungu tu upate mke mwema aisee, maana wadada wengi niliosoma nao chuo wengi wao walikuwa na nyodo sana, wachache sana walikuwa hawana nyodo za kujiona ona ona, saa nyingine wasomi huwa ni vichomi vya kufa mtu ingawa sio wote, ni suala la kuomba mungu mkuu
 
Wanawake wasomi wengi hawa submit kwa waume zao, mama anatoka kazini anakaa kwenye kochi awekewe chakula na dada kama anavyowekewa baba
Hapo tuseme inategemeana na muhusika labda!!
Hata wewe unamaanisha kwa nafasi yako unaweza Fanya hvyo?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kuna wa kaka nimeongea nao hawa kumbuka ni lini maravta mwisho mke wake alimpikia chakula au kumletea kikombe cha chai akiwa anaangalia mpira.
 
Hii itakuwa nadharia ngoja mwowaji akinioa nitaleta mrejesho
Haya mambo sikatai kwamba hayapo,bt ukifuatilia kwa ukaribu umaana wandoa huwa unakuww kwenye Pete,na kwa muktadha huo mama nadhani unakuwa unatengeneza loop ya Dada WA kazi Ku overtake !!!
Kwa kiasi Fulani!!!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kuna raha ya mume kula chakula anachoketewa na mkewe au kunywa chai unaambiwa baba Sami karibu chai, wasomi wengi wanajisahau hapo
 
Hii itakuwa nadharia ngoja mwowaji akinioa nitaleta mrejesho
Kizuri inaonekana wewe ni open minded huwez kufanya kitu hcho!!!
Ujue nilichojifunza kutoka kwa ndugu na jamaa waliooa,huharibikwa kwa kufanya mambo ya kuiga kutoka kwa watu wao WA karibu na pia kupokea kila wakutanacho wakat maisha hutofautiana baina ya familia moja na nyingne!!!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kizuri inaonekana wewe ni open minded huwez kufanya kitu hcho!!!
Ujue nilichojifunza kutoka kwa ndugu na jamaa waliooa,huharibikwa kwa kufanya mambo ya kuiga kutoka kwa watu wao WA karibu na pia kupokea kila wakutanacho wakat maisha hutofautiana baina ya familia moja na nyingne!!!

Post sent using JamiiForums mobile app
Za kuambiwa changanta na zako
 
Kuna raha ya mume kula chakula anachoketewa na mkewe au kunywa chai unaambiwa baba Sami karibu chai, wasomi wengi wanajisahau hapo
Sio kujisahau,SHIDA ni kukopy lifestyle ya familia ya MTU fulan unaileta kwako,wakat watu wanakulia sehem na malezi tofauti,,
Kwa mfano kuna familia Baba ,mama na watoto kwenda Disco ni kawaida saana,mtoto hiyo aoelewe na MTU ambae Amekulia Tofauti na mazingira hayo!! Mambo lazma yaende fyongo mmoja WAP asipokubali kuswitch has a mwanamama!!!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Utafiti watoto wanaolelewa na kina mama wasomi. Hufanikiwa zaidi.

Post sent using JamiiForums mobile app
Nina live example hiyo familia baba daktari mama mfamasia, watoto weekend walipewa assignment za science wote wameenda vizuri
 
Utafiti watoto wanaolelewa na kina mama wasomi. Hufanikiwa zaidi.

Post sent using JamiiForums mobile app
Nina live example hiyo familia baba daktari mama mfamasia, watoto weekend walipewa assignments za science wote wameenda vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom