Faida mojawapo ya kissing ni hii hapa

Faida mojawapo ya kissing ni hii hapa

duuuh! Huko chumvini kumepata kurun dunia

Sana mkuu sasa hivi uvinza ndio habari ya mjini...na kwa kuwa vijana wazalendo tumedhamilia kuwafikisha wadada vileleni basi hatuna budi kuuvaa ujasiri wa kuzama mgodini...kwa maendeleo ya taifa letu changa...
 
Inabid ukiss kwa tahadhar kubwa maana kuna mabint kama mnakiss wakati wa ..... Akifikia climax anadata anakungata kabisa baadae anaishia samahan

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Tangu nilipo mkiss mtu na kukutana na harufu kali kama nachungulia tundu ya shimo la choo sikumbuki kama nilishawahi kufanya hilo tukio...nadhani itakuwa nimeshaifuta kwenye sylabasi yangu ya kugegedana...

Uliokota wapi huyo mwanamke?
 
Deep kiss ni tamu mno

anaekukis awe ananukia sasa

sio ananuka mijasho like hell na mdomo unanuka
kuna watu wanatoa mijasho alafu mmmh

wewe ananukaaa.......mi nakwambia hii kitu inahitaji chemistry ya hali ya juu zaid hata ya kugegedana
 
Hahahaaaa looo .. Had nimepaliwa mweeeee..
Ananukia vizur sana kwa kweli nainjoi looo
 
Sana mkuu sasa hivi uvinza ndio habari ya mjini...na kwa kuwa vijana wazalendo tumedhamilia kuwafikisha wadada vileleni basi hatuna budi kuuvaa ujasiri wa kuzama mgodini...kwa maendeleo ya taifa letu changa...

teh teh tehh,jf raha tupuuu
 
Back
Top Bottom