Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,082
- 4,260
potezea tu.

Somo limeniingia lakini.

Shkamoooo mwaaalim.
Ha ha ha ha leo nikucheka tuuu
Marahaba mwanafunzi
potezea tu.

Somo limeniingia lakini.

Shkamoooo mwaaalim.
hapana wamezidi ngoja 2 niongee kila thread yangu wanatia kejeli utafikiri nimewalazimisha kuchangia.
umbeya umewazid na bila shaka watakuwa ni wanawake2 hapana ubishi jibu wanalo wenyewe. hivi sie wanawake 2taacha lini kufuatilia mambo yasizo2husu?umbea umbea 2. 2namatatizo gani??
ha ha ha ha ha e e e e waambie waache umbea,utafikiri thread zote wanazoziona hapa wanajua ni za kweli. Komaana nao ala!za kwako tu ndo za kutunga?? Ha ha ha wananichekesha! Mie

aise muliotajwa hapo mwacheni N4G
Na utakufa mpweke
:lol::lol::lol::lol: haya yanaitwa MANENO YAMKOSAJI :lol:
Hata ingekuwa wewe ungemwacha tu,maana ilikuwa ikifika Jumamosi tu anakuambia hatoki mtu chumbani,wala sebuleni huruhusiwi kufika anakuambia wiki nzima uko kazini na weekend ni zamu yangu tutatoka J2 tu kwenda kanisani na ukirudi ndani mpaka J3 na ukitaka kutoka labda damu imwagike kwanza humu chumbani.
Na utakufa mpweke