Faida 6 za kuishi maisha ya ukapera

Mie naona kama mchezo umezidi vile waonaje wewe???? Tuwekane sawa

inatia kinyaa kama sio kukera maana watu wanapoteza muda wao kutoa maushauri kumbe Shigongo kazini,ila nasie wengine tunafaidikaga humohumo kwa mauongo yao:lol:
 
Pata picha ungekua kapera hayo yote yangekukutia wapi inamaana uliona ni bora kuachana naye na kuishi peke yako sivyo??

Nasema ni kero kuishi na m2 wajinsia nyingine una kuwa huna uhuru kila ki2 lazima umshirikishe msumbufu m2pu ni bora ukazaa watoto wako wawili wawe wanakufariji ndani ya nyumba wakat ukihisi upweke

Mhh!mi naona huko ni kujidanganya mana unahitaji mtu wa jinsia nyingine ili upate hao watoto wawili..au mwenzangu una jinsi nyingine ya kupata watoto..tujuzane basi.

Kushirikisha mtu napo ni jambo la maana linasaidia pia kukufanya uweze kuishi na watu kwenye jamii sasa ukiwa peke yako si utakuwa selfish mpendwa?hebu fikiria tena.

hasara nyingine utakuw ana mihasira hasira tuuu isiyo na maana utakera kila mtu mpaka marafiki watakukimbia..ohoo kalagabaho
 
Dena,shosti, na husuniyo kwani mumeombwa muchangieee? Kaeni kimya na muache kiherehere. alaa? Kama nyie munaona hampati faida na thread zangu wako wanaopata faida. Acheni umbeyayaya!
 
Dena,shosti, na husuniyo kwani mumeombwa muchangieee? Kaeni kimya na muache kiherehere. alaa? Kama nyie munaona hampati faida na thread zangu wako wanaopata faida. Acheni umbeyayaya!


Pole sana N4G hizo ni computer tu mama acha hasira huwajui hawakujui unachukia nini?? Endelea kuleta mambo sie twayapenda
 
Pole sana N4G hizo ni computer tu mama acha hasira huwajui hawakujui unachukia nini?? Endelea kuleta mambo sie twayapenda
hapana wamezidi ngoja 2 niongee kila thread yangu wanatia kejeli utafikiri nimewalazimisha kuchangia.
umbeya umewazid na bila shaka watakuwa ni wanawake2 hapana ubishi jibu wanalo wenyewe. hivi sie wanawake 2taacha lini kufuatilia mambo yasizo2husu?umbea umbea 2. 2namatatizo gani??
 
Dena,shosti, na (husuniyo) kwani mumeombwa muchangieee? Kaeni kimya na muache kiherehere. alaa? Kama nyie munaona hampati faida na thread zangu wako wanaopata faida. Acheni umbeyayaya!

ngoja huyo wa kwenye mabano aje.
 
Dena,shosti, na husuniyo kwani mumeombwa muchangieee? Kaeni kimya na muache kiherehere. alaa? Kama nyie munaona hampati faida na thread zangu wako wanaopata faida. Acheni umbeyayaya!

Umemsahau CPU
Nimelipenda lile tusi lako
Unaweza ukaniletea lingine kubwa zaidi??
 
Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Wapo wa2 waliochagua kua wataishi peke yao bila kujihusisha na jinsia nyingine. Ktk maisha haya m2 awe mwanaume ama mwanamke huwa hana mshikamano na m2 yeyote na anapokua haend kazini hulala atakavyo. Hufanya atakalo nyumbani kwake maana hakuna m2 wakumwambia lolote
Ni maisha mazuri. Na kwa nini yasiwe mazuri na wakati unaish kama utakavyo?? Kwa hakika wewe mwenyewe unajibu la swali hilo. Maana m2 kuoa ama kuolewa ni suala la m2 binafsi na maisha yake

hata hivyo kma ungependa kuendelea kuwa kapera maisha yako yote hapa chini ziko 7bu ambazo unaweza kuzizingatia unapochukua uamuzi huu wa maana

1 UNAWEZA KUPATA ALIYE BORA BAADAE
kwa kuendelea kuwa peke yako na kuish maisha yako unaweza kushangaa anakuja m2 ambaye ndiye mungu aliyekupangia tangu awali

2 UTAFANYA KAZI YAKO VIZURI utapata nafasi nzuri ya kufanya kazi yako bila bughudha maana unakua huru kufanya kazi kwa muda uutakao wewe pia unaweza kufanya kazi hadi usiku maana huna miadi ya kutoka na m2 na utafanya mambo meng yenye manufaa kwa maisha yako. hii inamaana utakapokuwa unafanya kazi ambayo malipo yanaongezeka kadri unavyofanya kazi

3 UTAFANYA UTAKALO, WAKATI UUTAKAO utakapokuwa unaish peke yako dunia yote ni yako. ile hak ya msing ya kwenda mahal kokote na kufanya utakalo wakat wowote. Uko huru kutoka na kukesha viwanja na rafiki zako hadi asubuh hakuna m2 anayekusubir akuweke kitmoto nyumbani kwamc umechelewa.


4 UNAWEZA KUJIKUSANYIA MALI unapokuwa peke yako hususan wewe mwanaume hutalazimika kumnunulia msichana wako pete ya bei mbaya ili akawaringishie wenzake wala hutalazimika kuingia gharama zisizokua na maana ili kumfurahisha m2 wa jinsia nyingine ambaye anaweza kuishia kukuita "buzi" licha ya nia njema uliyomonyesha

5 UTAISHI KWA AMANI , U2LIVU ukish peke yako utajihakikishia amani na u2livu. Unapokuwa huish na m2 wa jinsia nyingine utaepuka presha zisiokua na maana , lawama za kishez,na ugomvi kuhusu mambo yasiyo halisi
5 HUTALAZIMIKA KUTAFUTA MUAFAKA hutalazimika

Nasingi foo gudi
 
Dena,shosti, na husuniyo kwani mumeombwa muchangieee? Kaeni kimya na muache kiherehere. alaa? Kama nyie munaona hampati faida na thread zangu wako wanaopata faida. Acheni umbeyayaya!

nimekoma umbeyayaya ila kusutwa siogopi inategemea unakuja na goma gani jipya maana kiduku,matarumbeta,rusha roho,kwaya kaswida zote nshazisikia:lol:
 
Ukiwa free sana badae tena utahisi unahitaji mtu wa kukulimit, kifupi binadamu hatuna la maana, unaweza amua kuwa kapera maisha yote unafikia uzeeni unaanza kujuta, kukosa company home maana hutataka kutoka sana kama ulivyokuwa kijana hapo sasa unaanza kujutia maisha uliyokuwa unaishi ingawa kwa wakati ule uliyaona yanafaa
 
nimekoma umbeyayaya ila kusutwa siogopi inategemea unakuja na goma gani jipya maana kiduku,matarumbeta,rusha roho,kwaya kaswida zote nshazisikia:lol:

hahahahahaha!
Tujiweke pembeni tuepushe msongamano.
 
nimekoma umbeyayaya ila kusutwa siogopi inategemea unakuja na goma gani jipya maana kiduku,matarumbeta,rusha roho,kwaya kaswida zote nshazisikia<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/lol.gif" border="0" alt="" title="Lol" smilieid="219" class="inlineimg" />

Ha ha ha ha ha ha uwiiiiiiiiii mbavu zangu mie
 
Back
Top Bottom