Faida 6 za kuishi maisha ya ukapera

Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Wapo wa2 waliochagua kua wataishi peke yao bila kujihusisha na jinsia nyingine. Ktk maisha haya m2 awe mwanaume ama mwanamke huwa hana mshikamano na m2 yeyote na anapokua haend kazini hulala atakavyo. Hufanya atakalo nyumbani kwake maana hakuna m2 wakumwambia lolote
Ni maisha mazuri. Na kwa nini yasiwe mazuri na wakati unaish kama utakavyo?? Kwa hakika wewe mwenyewe unajibu la swali hilo. Maana m2 kuoa ama kuolewa ni suala la m2 binafsi na maisha yake

hata hivyo kma ungependa kuendelea kuwa kapera maisha yako yote hapa chini ziko 7bu ambazo unaweza kuzizingatia unapochukua uamuzi huu wa maana

1 UNAWEZA KUPATA ALIYE BORA BAADAE
kwa kuendelea kuwa peke yako na kuish maisha yako unaweza kushangaa anakuja m2 ambaye ndiye mungu aliyekupangia tangu awali

2 UTAFANYA KAZI YAKO VIZURI utapata nafasi nzuri ya kufanya kazi yako bila bughudha maana unakua huru kufanya kazi kwa muda uutakao wewe pia unaweza kufanya kazi hadi usiku maana huna miadi ya kutoka na m2 na utafanya mambo meng yenye manufaa kwa maisha yako. hii inamaana utakapokuwa unafanya kazi ambayo malipo yanaongezeka kadri unavyofanya kazi

3 UTAFANYA UTAKALO, WAKATI UUTAKAO utakapokuwa unaish peke yako dunia yote ni yako. ile hak ya msing ya kwenda mahal kokote na kufanya utakalo wakat wowote. Uko huru kutoka na kukesha viwanja na rafiki zako hadi asubuh hakuna m2 anayekusubir akuweke kitmoto nyumbani kwamc umechelewa.

4 UNAWEZA KUJIKUSANYIA MALI unapokuwa peke yako hususan wewe mwanaume hutalazimika kumnunulia msichana wako pete ya bei mbaya ili akawaringishie wenzake wala hutalazimika kuingia gharama zisizokua na maana ili kumfurahisha m2 wa jinsia nyingine ambaye anaweza kuishia kukuita "buzi" licha ya nia njema uliyomonyesha

5 UTAISHI KWA AMANI , U2LIVU ukish peke yako utajihakikishia amani na u2livu. Unapokuwa huish na m2 wa jinsia nyingine utaepuka presha zisiokua na maana , lawama za kishez,na ugomvi kuhusu mambo yasiyo halisi
5 HUTALAZIMIKA KUTAFUTA MUAFAKA hutalazimika

Baba naomba ufikirie tena kwani mwenzio nina experience zote na leo najuta kwa nini nilimuacha Nyamvula wangu......
 
Lakini, kama faida ni nyingi hivyo, mbona watu hawakimbilii kuishi ukapela badala yake wengi wanatafuta wenza wa kuishi nao?
Nadhani kuwa na mwenza ni more beneficial than that loneliness.
 
Baba naomba ufikirie tena kwani mwenzio nina experience zote na leo najuta kwa nini nilimuacha Nyamvula wangu......

ha..ha kumbe wewe ulimwacha sasa kama unajuta labda ndiye huyo mungu aliyekupangia

ikumbukwe kuwa hapa m2 anakua kapera kwa hiyari sio lazima

pia kuwa na mwenza wako kuna faida zake

hakuna ki2 chenye faida kisichokua na hasara. ok kuoa kuna faida na hasara zake pia kuwa kapera kuna faida na hasara zake
 
Hata ingekuwa wewe ungemwacha tu,maana ilikuwa ikifika Jumamosi tu anakuambia hatoki mtu chumbani,wala sebuleni huruhusiwi kufika anakuambia wiki nzima uko kazini na weekend ni zamu yangu tutatoka J2 tu kwenda kanisani na ukirudi ndani mpaka J3 na ukitaka kutoka labda damu imwagike kwanza humu chumbani.
 
  • Thanks
Reactions: LD
SD mbona umenisemea maneno yangu bana hebu nirudishie niseme mwenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!

ha hahaaaaaa uwiiiiiiiiiii mbavu zangu mie da Dena!!!

kuvuja kwa pakacha, nafuu ya mchukuzi hili ndilo langu neno!!
 
Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Wapo wa2 waliochagua kua wataishi peke yao bila kujihusisha na jinsia nyingine. Ktk maisha haya m2 awe mwanaume ama mwanamke huwa hana mshikamano na m2 yeyote na anapokua haend kazini hulala atakavyo. Hufanya atakalo nyumbani kwake maana hakuna m2 wakumwambia lolote
Ni maisha mazuri. Na kwa nini yasiwe mazuri na wakati unaish kama utakavyo?? Kwa hakika wewe mwenyewe unajibu la swali hilo. Maana m2 kuoa ama kuolewa ni suala la m2 binafsi na maisha yake

hata hivyo kma ungependa kuendelea kuwa kapera maisha yako yote hapa chini ziko 7bu ambazo unaweza kuzizingatia unapochukua uamuzi huu wa maana

1 UNAWEZA KUPATA ALIYE BORA BAADAE
kwa kuendelea kuwa peke yako na kuish maisha yako unaweza kushangaa anakuja m2 ambaye ndiye mungu aliyekupangia tangu awali

2 UTAFANYA KAZI YAKO VIZURI utapata nafasi nzuri ya kufanya kazi yako bila bughudha maana unakua huru kufanya kazi kwa muda uutakao wewe pia unaweza kufanya kazi hadi usiku maana huna miadi ya kutoka na m2 na utafanya mambo meng yenye manufaa kwa maisha yako. hii inamaana utakapokuwa unafanya kazi ambayo malipo yanaongezeka kadri unavyofanya kazi

3 UTAFANYA UTAKALO, WAKATI UUTAKAO utakapokuwa unaish peke yako dunia yote ni yako. ile hak ya msing ya kwenda mahal kokote na kufanya utakalo wakat wowote. Uko huru kutoka na kukesha viwanja na rafiki zako hadi asubuh hakuna m2 anayekusubir akuweke kitmoto nyumbani kwamc umechelewa.

4 UNAWEZA KUJIKUSANYIA MALI unapokuwa peke yako hususan wewe mwanaume hutalazimika kumnunulia msichana wako pete ya bei mbaya ili akawaringishie wenzake wala hutalazimika kuingia gharama zisizokua na maana ili kumfurahisha m2 wa jinsia nyingine ambaye anaweza kuishia kukuita "buzi" licha ya nia njema uliyomonyesha

5 UTAISHI KWA AMANI , U2LIVU ukish peke yako utajihakikishia amani na u2livu. Unapokuwa huish na m2 wa jinsia nyingine utaepuka presha zisiokua na maana , lawama za kishez,na ugomvi kuhusu mambo yasiyo halisi
5 HUTALAZIMIKA KUTAFUTA MUAFAKA hutalazimika
Mdogo wangu wee.. Hebu tulia. Miaka 23 tu unaanza kuwaza ukapera? Eti kisa umeumizwa mara mbili tatu? Subiri ufikishe 30 ndio utajua kama unataka ukapera ama la. Wakati huo hao marafiki unaojirusha nao wote wameshaolewa wametulia na familia zao. We unadhani kwanini hakuna gari la kifahari lenye siti moja tu? Tafakari.
 
Mnaona sasa wake za watu mlivyo kero mpaka watu wanawaona kero. Jirekebisheni jamani.
Maisha ya wanaume yamekuwa mafupi sana kwa sababu ya hizi ndoa. Raha 2% kero 98%

maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Wapo wa2 waliochagua kua wataishi peke yao bila kujihusisha na jinsia nyingine. Ktk maisha haya m2 awe mwanaume ama mwanamke huwa hana mshikamano na m2 yeyote na anapokua haend kazini hulala atakavyo. Hufanya atakalo nyumbani kwake maana hakuna m2 wakumwambia lolote
ni maisha mazuri. Na kwa nini yasiwe mazuri na wakati unaish kama utakavyo?? Kwa hakika wewe mwenyewe unajibu la swali hilo. Maana m2 kuoa ama kuolewa ni suala la m2 binafsi na maisha yake

hata hivyo kma ungependa kuendelea kuwa kapera maisha yako yote hapa chini ziko 7bu ambazo unaweza kuzizingatia unapochukua uamuzi huu wa maana

1 unaweza kupata aliye bora baadae
kwa kuendelea kuwa peke yako na kuish maisha yako unaweza kushangaa anakuja m2 ambaye ndiye mungu aliyekupangia tangu awali

2 utafanya kazi yako vizuri utapata nafasi nzuri ya kufanya kazi yako bila bughudha maana unakua huru kufanya kazi kwa muda uutakao wewe pia unaweza kufanya kazi hadi usiku maana huna miadi ya kutoka na m2 na utafanya mambo meng yenye manufaa kwa maisha yako. Hii inamaana utakapokuwa unafanya kazi ambayo malipo yanaongezeka kadri unavyofanya kazi

3 utafanya utakalo, wakati uutakao utakapokuwa unaish peke yako dunia yote ni yako. Ile hak ya msing ya kwenda mahal kokote na kufanya utakalo wakat wowote. Uko huru kutoka na kukesha viwanja na rafiki zako hadi asubuh hakuna m2 anayekusubir akuweke kitmoto nyumbani kwamc umechelewa.

4 unaweza kujikusanyia mali unapokuwa peke yako hususan wewe mwanaume hutalazimika kumnunulia msichana wako pete ya bei mbaya ili akawaringishie wenzake wala hutalazimika kuingia gharama zisizokua na maana ili kumfurahisha m2 wa jinsia nyingine ambaye anaweza kuishia kukuita "buzi" licha ya nia njema uliyomonyesha

5 utaishi kwa amani , u2livu ukish peke yako utajihakikishia amani na u2livu. Unapokuwa huish na m2 wa jinsia nyingine utaepuka presha zisiokua na maana , lawama za kishez,na ugomvi kuhusu mambo yasiyo halisi
5 hutalazimika kutafuta muafaka hutalazimika
 
Hata ingekuwa wewe ungemwacha tu,maana ilikuwa ikifika Jumamosi tu anakuambia hatoki mtu chumbani,wala sebuleni huruhusiwi kufika anakuambia wiki nzima uko kazini na weekend ni zamu yangu tutatoka J2 tu kwenda kanisani na ukirudi ndani mpaka J3 na ukitaka kutoka labda damu imwagike kwanza humu chumbani.

Pata picha ungekua kapera hayo yote yangekukutia wapi inamaana uliona ni bora kuachana naye na kuishi peke yako sivyo??

Nasema ni kero kuishi na m2 wajinsia nyingine una kuwa huna uhuru kila ki2 lazima umshirikishe msumbufu m2pu ni bora ukazaa watoto wako wawili wawe wanakufariji ndani ya nyumba wakat ukihisi upweke
 
Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Wapo wa2 waliochagua kua wataishi peke yao bila kujihusisha na jinsia nyingine. Ktk maisha haya m2 awe mwanaume ama mwanamke huwa hana mshikamano na m2 yeyote na anapokua haend kazini hulala atakavyo. Hufanya atakalo nyumbani kwake maana hakuna m2 wakumwambia lolote
Ni maisha mazuri. Na kwa nini yasiwe mazuri na wakati unaish kama utakavyo?? Kwa hakika wewe mwenyewe unajibu la swali hilo. Maana m2 kuoa ama kuolewa ni suala la m2 binafsi na maisha yake

hata hivyo kma ungependa kuendelea kuwa kapera maisha yako yote hapa chini ziko 7bu ambazo unaweza kuzizingatia unapochukua uamuzi huu wa maana

1 UNAWEZA KUPATA ALIYE BORA BAADAE
kwa kuendelea kuwa peke yako na kuish maisha yako unaweza kushangaa anakuja m2 ambaye ndiye mungu aliyekupangia tangu awali

2 UTAFANYA KAZI YAKO VIZURI utapata nafasi nzuri ya kufanya kazi yako bila bughudha maana unakua huru kufanya kazi kwa muda uutakao wewe pia unaweza kufanya kazi hadi usiku maana huna miadi ya kutoka na m2 na utafanya mambo meng yenye manufaa kwa maisha yako. hii inamaana utakapokuwa unafanya kazi ambayo malipo yanaongezeka kadri unavyofanya kazi

3 UTAFANYA UTAKALO, WAKATI UUTAKAO utakapokuwa unaish peke yako dunia yote ni yako. ile hak ya msing ya kwenda mahal kokote na kufanya utakalo wakat wowote. Uko huru kutoka na kukesha viwanja na rafiki zako hadi asubuh hakuna m2 anayekusubir akuweke kitmoto nyumbani kwamc umechelewa.

4 UNAWEZA KUJIKUSANYIA MALI unapokuwa peke yako hususan wewe mwanaume hutalazimika kumnunulia msichana wako pete ya bei mbaya ili akawaringishie wenzake wala hutalazimika kuingia gharama zisizokua na maana ili kumfurahisha m2 wa jinsia nyingine ambaye anaweza kuishia kukuita "buzi" licha ya nia njema uliyomonyesha

5 UTAISHI KWA AMANI , U2LIVU ukish peke yako utajihakikishia amani na u2livu. Unapokuwa huish na m2 wa jinsia nyingine utaepuka presha zisiokua na maana , lawama za kishez,na ugomvi kuhusu mambo yasiyo halisi
5 HUTALAZIMIKA KUTAFUTA MUAFAKA hutalazimika
Ni sawa lakini vipi ukigonjeka?hata wa kukutake care anakuwa hayupo.au utarudi kwa maza?
 
Back
Top Bottom