Bullava
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 618
- 1,002
Hiyo itakuwa mitaa ya Kajunjumele, tenende & ipandeKyela ipi ndg kuna cocoa nyingi hivyo
Hiyo itakuwa mitaa ya Kajunjumele, tenende & ipandeKyela ipi ndg kuna cocoa nyingi hivyo
Kyela ipi ndg kuna cocoa nyingi hivyo
Hii picha umeifanyia maujanja kibao!! Hadi mizizi imezaa? Hebu acha ukorofi bana!

Kyela ipi ndg kuna cocoa nyingi hivyo
Mabunga mitaa nimetembea sana ile hata mwezi Wa nne nilikuwa huko
Kyangala
Aisee iyo kitu nimepata kuiona Bujonde kijijini kwetu ,,kyelaKokoaa hizo tamu kichiz....zaongeza genye sana.
Tanga zipo
Vip mkuu pande zipi pale.. Mitaa ya shule ya msingi pale kuna ndg yangu
Ndwanga huko + Kikusya & Talatala nilienda kikaziEbwana ee kiangala?! Mkuu ndio kwenu nn
Kyangala_Katumba KyelaKyangala
Nambie mkuu...nicheck inbox pleaseAisee iyo kitu nimepata kuiona Bujonde kijijini kwetu ,,kyela
Hii ni Ipinda?Mtihuu mti ulionifikisha hapa nilipo, mti wenye thaman kubwa ndani ya mji niliozaliwaView attachment 373409View attachment 373410
au mambula.Hahahaa! Au matobho!