Fahamu zaidi kuhusu Mr Kuku

plan z

JF-Expert Member
Jun 10, 2019
1,068
2,000
Huo ni uzi bro bado kuna maelezo yanaendelea huko chini

Sijaona ile read more, kwahyo kwa ufupi huo tunaelewa hiyo nyumba ndo amemaanisha aliijenga, hiyo ni moja.

Pili, kama amekuwa amenyoosha maelezo vizuri hiyo nyumba ingejulikana ni mfano tu na yule jomba asingeomba afute picha, hiyo ni mbili.

Tatu, kama una ushaidi maelezo yanaendelea lete screenshot tuhakiki kama unayoyasema ni kweli, hiyo ni tatu.
 
Savimbi Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
6,817
2,000

cabo

JF-Expert Member
Jun 15, 2016
3,403
2,000
Kwa kifupi ni mshkaji nimesoma nae high school.. Wazazi wake wanaishi makonde chini na mimi naishi Africana karibia na whitesands, hapo kwa wazee wake nishafika sana. Ni mwendo wa dakika 15 tu kwa mguu kutoka ninapoishi
kwaiyo nyinyi ni wakishua
 
Danpol

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
5,103
2,000
Waulize TMT wanajua habari ya Ontario ni nani aliowatapeli.

Ndio akili kumkichwa mtu mwenye mijengo anaenda kupanga kivipi wakati uchumi ukiyumba? Kwani Post zake zote na replies twita unazijua?

Muda rafiki mzuri.
Taja mtu mmoja alie tapeliwa na Ontario.. TMT unaijui ? unajua ilikua inafanya kazi gani?? yani unashinda kupata jina au mtu mmoja tu unae mjua katapeliwa na Ontario alafu unavimba hapa kusema jamaa katapeli watu ? acheni hayo mawazo ya kijinga

Tupambane kutafuta pesa na si vinginevyo
 
Danpol

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
5,103
2,000
Sijaona ile read more, kwahyo kwa ufupi huo tunaelewa hiyo nyumba ndo amemaanisha aliijenga, hiyo ni moja.

Pili, kama amekuwa amenyoosha maelezo vizuri hiyo nyumba ingejulikana ni mfano tu na yule jomba asingeomba afute picha, hiyo ni mbili.

Tatu, kama una ushaidi maelezo yanaendelea lete screenshot tuhakiki kama unayoyasema ni kweli, hiyo ni tatu.
Hakuna mtu anaweza kukusaidia kupanua uelewa wako wa jambo lolote kama hutoamua jisaida

mfano
mtu akaandika, lengo langu mwaka huu lilikua kununua timu ya mpira, akaweka picha ya Simba sc.. hiyo inamaanisha amenunua hiyo timu??

chini akaendelea, lengo la pili nilitaka jenga uwanja ambao timu yangu angeutumia, akaweka picha ya uwanja wa taifa, kwahiyo kwa akili zako wewe utasema uwanja wa taifa ni mali yake??

mbona vitu vidogo sana hivi mnashindwa tambua ???
 
Danpol

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
5,103
2,000
Suala la nyumba huliongelei au sio

Tangia 2016 kawatoa wangapi kwenye umaskini?? Mbona walirudi humu wakiwa wanalia lia. Sasahivi mmehamia Twitter hehehe
Hakuna mtu anaweza kukusaidia kupanua uelewa wako wa jambo lolote kama hutoamua jisaida

mfano
mtu akaandika, lengo langu mwaka huu lilikua kununua timu ya mpira, akaweka picha ya Simba sc.. hiyo inamaanisha amenunua hiyo timu??

chini akaendelea, lengo la pili nilitaka jenga uwanja ambao timu yangu angeutumia, akaweka picha ya uwanja wa taifa, kwahiyo kwa akili zako wewe utasema uwanja wa taifa ni mali yake??

mbona vitu vidogo sana hivi mnashindwa tambua??

Aliowatoa kwenye umasikini

Mtafute Clinton (hata kwenye page yake insta yupo)

mtafute Dar Suit.. nenda insta utamkuta , ukanunue na suit kwake pia, anauza bei rafiki tu

Insta huko huko mtafute na Elikanafx

hao watatu wanakutosha
 
FisadiKuu

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
7,234

Kuendelea kukujibu ni kujipotezea muda..

Wewe tayari ni mnufaika wa huyo tapeli lwa kukuhonga kilaki. Kwahiyo ni bora uendelee kuamini unachokiamini.

Kazi njema!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom