monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,265
- 11,302
Mkuu acha kubishana na hawa madogo wanaokaa kwa shemeji zaoSuala la nyumba huliongelei au sio
Tangia 2016 kawatoa wangapi kwenye umaskini?? Mbona walirudi humu wakiwa wanalia lia. Sasahivi mmehamia Twitter hehehe
Wanadanganya mademu zao kuwa "kuna mchongo nausikilizia"
Narudia tena hawa vilaza achana nao tu