Steven mushi mushi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2016
- 533
- 741
- Thread starter
-
- #201
Kwa kawaida simba hukwea miti kutokana na mazingira wanayoishi mfano simba wa manyara hukwea miti ili waweze kuona vizuri wanyama Wakuwawinda kutokana na ile hifadhi kuwa na maeneo mengi ambayo ni forest. Kwa hiyo kwa namna moja au nyingine mazingira husababisha baadhi ya simba kukwea mitimm bado nahitaji kujua elimu zaidi ya simba inakuwaje simba wa buga za selegeti anapanda kwenye miti huku wale wa poli la akiba selou awapandi juu ebu nijuze mkuu
Shukrani mkuu nitafanya hivyoPost nzuri sana hii, naomba ulete profile za wanyama wengine,
Hasa hasa hushambulia watotoLakini mbona Tembo wana ushirikiano sana na wanatembea kwenye makundi - hivi Simba wanaweza kuwa na ujasiri wa kumshambulia Tembo kweli?
YapKwa maana hiyo wale mabinti hupandwa na baba zao?
Anawatambulishaje??Ndio dume ndilo linawajibikaatakama majike yatakuwa kumi yeye ndio atakayewabebesha mimba tuu.kwanini awe yeye dume atawauwa wale watoto ambaosio wake na ndio maana baada ya miezi mitatu simba anakuja kuwatambulisha watoto aliojifungua kwa baba yao halisi sasa dume ajua kbsa kama niwake au sio nakama sio wake anawauwa.
Huo ni uchokozi wenye kiwango cha kimataifa....Diamond ni simba wa wapi.,mbona analea watoto sio wake?
anauawa na mbwa mwitu.Anauwawa na wenzie au binadamu?
hivi Jaguar ndio yule anaitwa Dubu kwa kiswahili?Nafiki ata jaguar simba awezi kumsogelea
Jaguar kbsa hawezi kupanda ata na simba jike.kumbuka jaguar ni chui Mweusi anayepatikana south amerika.dubu ni bear wanapatika sana US Canada na Russia pia dubu wapo wahaina mbili kuna white bear na brown bear black beat wapo wachache sana na white bear ndio dubu wakubwa sanahivi Jaguar ndio yule anaitwa Dubu kwa kiswahili?
Wanapozaliwa watoto wasimba wanafichwa miezi mitatu kabla ya kukutana na familia yao.wanatambulishwa kwa mama yao kuwapeleka ktk kaya yaoAnawatambulishaje??
Mnapaswa kujua simba ndio paka wanaoishi kwa ushirikiana wana akili za ziada sana sana kuliko unavifikiri.wanapokwenda kumtafuna tembo wanajipanga sana na inakuwa usiku wanawatenganisha mama zao na watoto wao ndipo wanafanikiwa kumchukua mtoto.tembo night vision yao ni dhaifu sana kuliko simba anayeona zaidi ya Mara nane ya tembo usiku sasa pata picha wewe binadamu unatembea kwa msaada Wa mwanga Wa torch yeye simba hana tatizo hilo kbsaLakini mbona Tembo wana ushirikiano sana na wanatembea kwenye makundi - hivi Simba wanaweza kuwa na ujasiri wa kumshambulia Tembo kweli?
White lion wanapatikana south Africa na wanakaa kwenye zookuna simba flani ni weupe. mwili mzima wanaitwa white lion.hawa wanapatikana wapi ndugu mtoa mada
Soma vizur huyo ndo mweny speed zaidNashukuru mkuu kwa kunifahamisha vizuri sana na umeniongezea mnyama Puma asante, lakini nina swali,mimi nilivyokuwa najua mnyama Cheetah (duma) ndio mwenye spidi sana kuliko wote kumbe sio hivyo au sijakuelewa vizuri ??