Kuna dawa zozote unazozifahamu tushirikishane?Mkuu.. usiangaishwe na maumbile yako madogo relax.. hizi dawa huwa zinafanya kazi 100% ila madhara yake ni mengi na makubwa na hayana suruhu.. utakuza uume utakuwa mkubwa kama unavyohitaji ila utakuwa hausimami sawa sawa kama mwanaume kweli yaani utakuwa unasimama lege lege na hata kuingia utakuwa hauingii vizuri.. ila kama hiyo hali inakutesa tafuta tu dawa utumie.. maisha yenyewe mafupi haya just enjoy mkuu hatushikiani maisha