Fahamu ukweli kuhusu kurefusha uume

Fahamu ukweli kuhusu kurefusha uume

Ndugu yangu kwani wewe huwezi kununua hizo dawa ili ufanye jaribio ili ulete taarifa ya utafiti wako
 
Mkuu.. usiangaishwe na maumbile yako madogo relax.. hizi dawa huwa zinafanya kazi 100% ila madhara yake ni mengi na makubwa na hayana suruhu.. utakuza uume utakuwa mkubwa kama unavyohitaji ila utakuwa hausimami sawa sawa kama mwanaume kweli yaani utakuwa unasimama lege lege na hata kuingia utakuwa hauingii vizuri.. ila kama hiyo hali inakutesa tafuta tu dawa utumie.. maisha yenyewe mafupi haya just enjoy mkuu hatushikiani maisha
 
Watafute wanaigeria wana dawa nzuri sana..
 
Hakuna dawa ya namna hiyo ridhika na ulichonacho
 
0712505049
Screenshot_20211201-140833.jpg
 
hizo zipo, nenda umasaini (achana na hawa masai wasusi wa mjini hata ukikuta mzee wengi fiksi tu) nenda kule ndani ndani watakupa dawa unachanganya kwenye supu mzee muda sio mrefu kitu inatiki, vinginevyo uende kongo(kama unarafiki yako dereva muagize atakuletea) wao pia wanazo na wenzetu huko ni kawaida sio issue wala nini.
 
mimi naombeni dawa ya kupunguza machine.
kina dada mnakuja DM kutafuta nini,naombeni dawa
 
Mkuu.. usiangaishwe na maumbile yako madogo relax.. hizi dawa huwa zinafanya kazi 100% ila madhara yake ni mengi na makubwa na hayana suruhu.. utakuza uume utakuwa mkubwa kama unavyohitaji ila utakuwa hausimami sawa sawa kama mwanaume kweli yaani utakuwa unasimama lege lege na hata kuingia utakuwa hauingii vizuri.. ila kama hiyo hali inakutesa tafuta tu dawa utumie.. maisha yenyewe mafupi haya just enjoy mkuu hatushikiani maisha
Atakua anaingiza kama utambi kwenye taa ya chemli.

#MaendeleoHayanaChama
 
hizo zipo, nenda umasaini (achana na hawa masai wasusi wa mjini hata ukikuta mzee wengi fiksi tu) nenda kule ndani ndani watakupa dawa unachanganya kwenye supu mzee muda sio mrefu kitu inatiki, vinginevyo uende kongo(kama unarafiki yako dereva muagize atakuletea) wao pia wanazo na wenzetu huko ni kawaida sio issue wala nini.
Wamasai saiv wanakunywa Energy hawa hawana madawa washakuwa vishoka!
 
Watafiti wanapingana na wahusika wa hayo matendo, ukweli ni kwamba binadamu wanatofautiana kimaumbile, wapo wanawake ambao hawafiki kilele iwapo hawatapata a thick and long pen, na wapo wanaume ambao wanakiri wazi kuwa ikipwaya hawapati kabisa excitement
 
mimi naombeni dawa ya kupunguza machine.
Vipo vyakula vinapunguza kwa kiasi ukubwa wa machine endapo vikitumika kwa wingi, inasemekena ndio sababu ya wahindi kuongoza kuwa vibamia kwa sababu ya matumizi ya muda mrefu ya hivyo vitu kama matumizi ya Soya.
 
Hakuna dawa ya namna hiyo ridhika na ulichonacho
Utasemaje mtu aridhike na alichonacho na hali hajazaliwa nacho? Mbona haturidhiki na maradhi bali tunaenda hospitali kupata tiba? Maumbile madogo sio wote wanazaliwa nayo wengi inawatokea hivyo kwa sababu mbalimbali kama punyeto au sababu zengine za kiafya, sasa kama dawa za kurudisha hali yake ya kawaida zipo shida inakuwa wapi?
 
Ni kweli kuna baadhi ya wanaume wana maumbile madogo, yaani uume mfupi na mwembamba. Wanaume hawa hupokea mrejesho (feedback) kutoka kwa wapenzi wao kwamba hawajatoshelezwa kabisa, yaani hawajafikishwa popote.

Mwanaume akiambiwa hivyo na wanawake wawili, watatu, wanne anaanza kuhuzunika. Tatizo linaongezeka na kuwa kubwa pale wanapokimbiwa na wapenzi wao kwa sababu ya tatizo hilo, na wengine huchekwa mara tu baada ya kuvua nguo. Ni kama mteja wa chakula mwenye njaa kisha aletewe chakula kidogo - huwa anafanya nini?

Baada ya kufadhaika kwa muda na kuona kila mwanamke anayekutana naye heshima haipo ndipo huanza kutafuta suluhisho kwa gharama yoyote (huwa desperate sana) - usalama kiafya, gharama kifedha, umbali, muda nk

Kwa kweli watu hawa wapo, japokuwa kwa wanaume wengi waliobaki tatizo hilo hawana ila tu wanahisi wanalo. By the way baadhi ya wanawake wana maumbile makubwa kiasi kwamba hata kama uume upo sawa bado tu utaona hautoshi. Huyu utajiangaisha bure tu na kuweka hatarini afya yako, ni bora kuacha kama ilivyo au kutafuta kufuli inayoendana na funguo yako.

Niishie hapa kwa leo. Chukua hiyo pointi hapo juu - tafuta kufuli inayoendana na funguo yako!
Tafuta kufuri inayo endana na funguo yako
 
Back
Top Bottom