Fahamu tabia za kuziepuka wakati unapokula

Fahamu tabia za kuziepuka wakati unapokula

Hiyo ya kuvuta chai umenifurahisha Mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent From Kisana Kiki Iphone
 
Lakini pia nyingine ni "hutakiwi kumwangalia mtu mwingine wakati wa kula. Kwa hiyo uwapo mezani unatakiwa kutama sahani yako ya msosi na siyo kutazama mwingine/kwingine....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilikula ugali na mzee mmoja kwa kutumia bakuli moja la mboga, akichovya tonge analing'ata na mapengo yake halafu anachovya tena, ilikuwa shida sana siku hiyo.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] babu yako nini
 
Na inapotokea mnachangia sahani ya chakula cha rojorojo huku mnatumia vijiko halafu mwenzenu Kila akiweka kijiko mdomoni kinatoka km kimeoshwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani.

Kuna baadhi ya Watu Ulaji wao kama una Moyo mdogo unaweza ukakatisha na zoezi lenyewe la Kula huku ukiwa bado unataka kuendelea Kula
 
Tabia ya kupiga tonge kubwa la ugali halafu kile kitoto kilichobaki kinarudishiwa kwenye mchuzi au ile jamaa anaviriga tonge kisha analitafuna kidogo kisha anapiga booonge la mtobo unakomba mchuzi kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wahindi pia wamegawanyika ktk ulaji kutokana na jamii zao mfano unapokula roti/chapati na mchuzi usishau pilipili pembeni ukifuatilia ulaji wao kulamba au kuingiza vidole ni kawaida
Hao jamaa wala usiwataje.

Hapo wamezunguka Chakula cha pamoja, na Mtu anakula huku anainamia pale kwenye Chakula.

Kila kinachoanguka au kuchuruzika, kinaangukia au kuchuruzikia kwenye Chakula.

Ni kinyaa sana, kwa sisi wenye utaratibu wetu.

Naupenda sana utaratibu wetu
 
Back
Top Bottom