Fahamu tabia za kuziepuka wakati unapokula

Fahamu tabia za kuziepuka wakati unapokula

Na mara nyingi wakishamaliza Kula lazima wafungue Kipochi na kuanza kujipaka upya/tena.

Na Simu ya Kiganjani ndio Kioo tena.

Sista Du utamtaka tena.

Hapo bado kuchezesha Kichwa na kuweka weka sawa Nywele huku akijiangalia kwenye Simu yake ya Kiganjani na Kichwani ameweka BRAZIL tena.

Utamtaka
yani wadada nao wana kaz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No5 mimi huyo.....ila sijawahi kulalamikiwa but nashkuru kwa elimu hii nitabadilika.

sent from Kibiti with Nokia3310 using Jf app
 
Nimeelewa ndugu yangu ila umeona mleta mada alivoandika, eti shika kikombe chako sawa sawa kisha kiinue taratibu imimine chai kinywani mwako...! Tuwe serious hivi unaweza kumimina chai yamoto mdomoni kweli? Tena usiombe ikawa ya mazima ndio imetoka kwenye chupa au jikoni maana waga inakawaida ya kuchelewa kupoa, lazima tu utajikuta mdomo utazani mnywa gongo

Ye aseme tu kuwa kuvuta chai ikatoa kale kamlio ndio sio sawa hivo mtu anapaswa kutafuta style ingine ya unywaji isiyotoa mlio huo na kukera wengine, ila kutoa maelekezo ya kumimina hapana amimine mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
hapo kweli mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee yooote tisa kumi mtu akibeua aaah kanikata stimu yote kwa kweli yaani napata kinyaa sana tena sana.... kisa tu niliwahi kumkiss mtu katikati ya kiss si akanibeulia!!! harufu kali ya kachumbari aliyokula kwenye chips kuku ikapenya mubashara kwenye pua zangu.... My God sitasahau lile tukio...since then mtu akibeua nakaa mbali nae nahofia harufu ya chakula alichokula kunipata. lol

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Unasehau na wale wazee wa kula kwa mikono kuna siku biriyani lilinishinda kisa bwana hyo yaani akila anaingiza vidole vyote mdomoni vikitoka anavilamba huo huo mkono anakuwa tena kama ajikung'utia kwenye hiyo sahani tunayokula nae duh ilipidi niwaachie wenzungu nkajipigisha simu nikatoka nje kuongea nikawaacha wenzangu wanaendelea kukomaa nae
Kuna watu wanakula vibaya kama mbwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umwiacha moja,bongo ykiomba maji ya kunywa unaemuomba anaamza kunywa yeye then anakupa wewe..
 
Back
Top Bottom