HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,702
- 48,144
Kiongozi.
Wewe ndie unaeona wanajitesa.
Wenzio wameshazoea.
Hata habari hawana.
Ulimbwende kazi sana
Kiongozi.
exactlyKiongozi.
Wewe ndie unaeona wanajitesa.
Wenzio wameshazoea.
Hata habari hawana.
Ulimbwende kazi sana
tupia kapicha sijaelewa vizuri,,,WANAWAKE KUCHEZESHA MAPAJA WAKATI WA KULA NI HATARI PIA
Inategemea na mahali, hospitali mnakula huku mnapeana majukumuASANTE KWA SOMO, NAONGEZEA:
1. KUJAMBA WAKATI WA KULA
2. KUJILAMBA VIDOLE (WANAOKULA BILA VIJIKO)
3. KUONGEA STORI ZA UCHAFU/KINYAA MF. KUYATAJA MAVI, MANENO KAMA KUHARISHA, KUTAPIKA N.K.. HUWEZA KUHARIBU MOOD YA WENGNE YA KULA.
Labda nyie Watoto wa Kota.7.5 CHOMBO CHA CHAKULA
Kila mmoja awe na sahani yake badala ya kutumia sinia, sufuria au beseni moja wakati wa kula, haitakiwi watu wengi kuchangia chombo kimoja wakati kwa kula na hasa kwa mikono.
MKUU KWANI HOSPTALI NI MAHALI SAHIHI KWA KULIA CHAKULA!?Inategemea na mahali, hospitali mnakula huku mnapeana majukumu
mfano: yule fulani bed5 ukimfanyia dressing kamua kabisa usaha na upaki gauze ndani. Au kutamka makohozi mkinywa chai hospitali ni sehemu ya kazi.
Ambapo tunapata sauti gani? maana kwenye kuvuta chai tumeambiwa sauti zake ni "tsuuuu" na "brrrr"Comrade umesahau hii.
9. KUTAFUNA HUKU UMEPANUA MDOMO.