Fahamu tabia za kuziepuka wakati unapokula

Fahamu tabia za kuziepuka wakati unapokula

Hyo ya tano ni mtihani kama chai niyamoto na wewe unaharaka ufanyaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua Kikombe cha Plastiki.

Punguza kidogo kutoka kwenye Kikombe ulichowekea Chai, na kisha miminia kwenye Kikombe cha Plastiki.

Ukishamimina kwenye Kikombe chako cha Plastiki, chezesha chezesha Kikombe huku ukiwa unaendelea kupiga funda zako.

Ikiisha unaendelea tena na zoezi lako la kupunguza kidogo kidogo kutoka kwenye Kikombe ulichowekea Chai, mpaka pale Chai itakapoisha.

Na sio Kikombe cha Plastiki tu.

Unaweza kutumia Kikombe chochote kwa ajili ya kupoozea
 
Hao jamaa wala usiwataje.

Hapo wamezunguka Chakula cha pamoja, na Mtu anakula huku anainamia pale kwenye Chakula.

Kila kinachoanguka au kuchuruzika, kinaangukia au kuchuruzikia kwenye Chakula.

Ni kinyaa sana, kwa sisi wenye utaratibu wetu.

Naupenda sana utaratibu wetu
Acha uongo!!
 
Kubeua ni kiafrika ni dalili njema kwamba umekula umeshiba. Hasa ugenini
 
Hatujafuata hayo na tumeishi zaidi ya miaka 80 bila hata tumbo kuunguruma
 
Unasehau na wale wazee wa kula kwa mikono kuna siku biriyani lilinishinda kisa bwana hyo yaani akila anaingiza vidole vyote mdomoni vikitoka anavilamba huo huo mkono anakuwa tena kama ajikung'utia kwenye hiyo sahani tunayokula nae duh ilipidi niwaachie wenzungu nkajipigisha simu nikatoka nje kuongea nikawaacha wenzangu wanaendelea kukomaa nae
...Mkuu umelenga! Hawa jamaa ndio wanakuwa Washamba kwrli! Mimi siwapendi..!
 
Hahahaaa...
Mimi niko tofauti na tamaduni za kitanzania kwa sababu nimekaa Nigeria, pia uingireza Preston Lancashire, nimekuwa nikila kwa kutumia uma au kijiko kwa chakula chochote hata kama ni ugali, sijawahi kula na mkono hata siku moja, na pia huwa natumia mkono wa kushoto kula chakula ili hali nina kucha ndefu mkono lakini ni safi na nyeupe zinakuwa safi muda wote.
Hivi ndivyo tamaduni za kizungu zilivyo niharibu lakini nimezoea.....
Ulienda huko kote ukiwa Mdogo Sana?
 
Back
Top Bottom