Hahahaaa makubwaKutafuna kama nguruwe.
7.MAJI YA KUNAWA.
Miaka ta zamani tulikua tunatumia sufuria au beseni moja kunawia familia nzima pale tulipokua tunataka kula.
Lakini siku hizi mambo yamebadilika , ustaarabu ni kutumia maji ya kuchuruzika na sabuni.
Tabia ya kutumia maji kwenye chombo kimoja inaweza kusababisha kuletaa magonjwa kama vile kipindupindu kwa sababu mtu wa kwanza ndiye anayekua amenawa maji safi hawa wengine wanakua wananawa uchafu wa wenzao.
Hahahahaaa! Anakula utadhani yupo kwenye arobaini ya mpwa wake! Hopeless!Watu wa hivi kula nao ni mtihani sana.
Kula huku Mtu anajiramba.
Na hiyo kukung'uta kwenye Sahani/Sinia.
Na Mtu wa kukung'uta basi kila Tonge lazima akung'ute.
Halafu sijui wengine wanafanya makusudi!
Huyo ni wa kukamatwa kwa nguvu, afungwe kamba za katani vizuri. Halafu anapakiwa kwenye buti la gari akapumzike "Milembe Hotels"!Tabia nyingine chafu ni pale mhudumu wa baa au hotel anapokuja kukuhudumia huku ana toothpick mdomoni,au unakuta mtu katoka kula pilau Magomeni butiama halafu huyoo anachomeka toothpick yake mdomoni anaenda nayo Hadi kimara ,mbaya zaidi Yuko kwenye daladala... nyambaf
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]WANAWAKE KUCHEZESHA MAPAJA WAKATI WA KULA NI HATARI PIA
Haaaaa!!!!kuwa sirias sana wakati wa kula ni tabia mbaya pia........
Kama wapo mlima moto! Funny, huh?Watu Huvuta Chai Ikiwa Ya Fire
Mkuu, mimi nataka niende kando ya uzi huu. Kwa nini usingejiita Naughty by Nature badala ya Not by nature? Naona kama ingeleta utamkaji mzuuuuriii! Pole kwa kukusumbua.Ha ha ha ha jamii forum ina mambo
Mkuu, pole sana. Kama tungezaliwa tumbo moja na kuishi nyumba moja, mama yetu angekuwa anakukoyonga kila siku. Unaongea bila sababu wakati wa kula? Ungeipandika mwanamayu!Asee kama kila nikila ili niongee itabidi ninywe maji then mpk namaliza kula ntajikuta nimemaliza pipa zima.Utakulaje kimya kimya aisee.
Umenikumbusha mbali my dear mi mwenyewe kipindi niko shule nilikuwa na huo mchezo wa kuvuta chai basi kuna rafiki yangu kila ukifika wakati wa kunywa chai alikuwa ana kazi ya kunifukuza eti namkera. LolHahaaa hiyo namba tano nimemkumbuka dada yangu ukivuta chai mbele yake anakutoa mkuku wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Saa nyingine kuongea hakukwepeki lakini BAK labda uwe peke yako. Kwa sababu hebu chukulia una mgeni wako halafu mnapata supper hivi inawezekana kula kimya kimya kweli. Story mbili tatu lazima ziwepo bana.Kuongea na kucheka wakati unakula inaweza pia kusababisha chakula kwenda kusikostahili na hivyo kupaliwa au hata kusababisha matatizo makubwa ya kufanyiwa operesheni na hata kufa pia.
Mmh. Pole sana mkuu. Mi pia nilishawahi shindwa kula baada ya kumuona mtu meza ya pembeni ana kazi ya kuweka vidole puani huku anakula.Unasehau na wale wazee wa kula kwa mikono kuna siku biriyani lilinishinda kisa bwana hyo yaani akila anaingiza vidole vyote mdomoni vikitoka anavilamba huo huo mkono anakuwa tena kama ajikung'utia kwenye hiyo sahani tunayokula nae duh ilipidi niwaachie wenzungu nkajipigisha simu nikatoka nje kuongea nikawaacha wenzangu wanaendelea kukomaa nae