Kuepuka maumivu na msongo wa mawazo baada ya kuachwa na mwenza fanya yafuatayo

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
1620732268202.png
1.Hatua ya kwanza piga moyo konde kukubali matokeo kila lenye mwanzo Lina mwisho huyo sio wako tena.

2.hatua ya pili futa kumbukumbu zote kuhusu yeye ikiwemo namba za simu picha Meseji n.k ili kuepuka mazingira ya kumfatilia.

2.hatua ya tatu epuka kusimulia watu wako wa karibu kama umeachwa we jifanye Mkoo poa tuu hii ibakie kuwa Siri yako kwa muda kidogo.

3.Hatua ya nne kama una uhakika mpka mnachana hakuna kosa ulilomfanyia epuka kuomba second chance mrudiane.

4.Hatua ya tano acha kujilaumu kwa kosa lolote ulilomfanyia mkasabisha m break up wee fanya yameshapita hayo endelea na maisha yako. Kama akiona una umuhimu akutafute.

5.Hatua ya Sita acha kumtafuta tafuta sijui muonane mzungumze noo wee kuwa bize na mambo yako kama akiona una umuhimu akutafute mwenyewe.

HAYA ENDELEA KUONGEZEA POINTS ZINGINE
 
1.Hatua ya kwanza piga moyo konde kukubali matokeo kila lenye mwanzo Lina mwisho huyo sio wako tena

2.hatua ya pili futa kumbukumbu zote kuhusu yeye ikiwemo namba za simu picha Meseji n.k ili kuepuka mazingira ya kumfatilia

2.hatua ya tatu epuka kusimulia watu wako wa karibu kama umeachwa we jifanye Mkoo poa tuu hii ibakie kuwa Siri yako kwa muda kidogo

3.Hatua ya nne kama una uhakika mpka mnachana hakuna kosa ulilomfanyia epuka kuomba second chance mrudiane

4.Hatua ya tano acha kujilaumu kwa kosa lolote ulilomfanyia mkasabisha m break up wee fanya yameshapita hayo endelea na maisha yako
Kama akiona una umuhimu akutafute

5.hatua ya Sita acha kumtafuta tafuta sijui muonane mzungumze noo wee kuwa bize na mambo yako kama akiona una umuhimu akutafute mwenyewe

HAYA ENDELEA KUONGEZEA POINTS ZINGINE
Tangu niache ujinga wa kupenda wanawake , maisha yangu yamebadilika sana.
 
Mkuu umeandika nondo tupu.

Hatua ya kwanza imekaa kweli ni hatua ya kwanza. Jambo la kwanza kabisa ni hilo, kukubali ukweli na uhalisia wa kilichotokea.

Wengi tunafeli sababu hatukubali ukweli kwa kilichotokea.

Umenifunza mengi aiseee, wacha nitendee kazi.
 
1.Hatua ya kwanza piga moyo konde kukubali matokeo kila lenye mwanzo Lina mwisho huyo sio wako tena

2.hatua ya pili futa kumbukumbu zote kuhusu yeye ikiwemo namba za simu picha Meseji n.k ili kuepuka mazingira ya kumfatilia

2.hatua ya tatu epuka kusimulia watu wako wa karibu kama umeachwa we jifanye Mkoo poa tuu hii ibakie kuwa Siri yako kwa muda kidogo

3.Hatua ya nne kama una uhakika mpka mnachana hakuna kosa ulilomfanyia epuka kuomba second chance mrudiane

4.Hatua ya tano acha kujilaumu kwa kosa lolote ulilomfanyia mkasabisha m break up wee fanya yameshapita hayo endelea na maisha yako
Kama akiona una umuhimu akutafute

5.hatua ya Sita acha kumtafuta tafuta sijui muonane mzungumze noo wee kuwa bize na mambo yako kama akiona una umuhimu akutafute mwenyewe

HAYA ENDELEA KUONGEZEA POINTS ZINGINE
7.Acha kufuta namba yake kwa sababu kuachana sio ugomvi,ibakie kwenye simu kama namba za watu wengine wa kawaida tu.

8.Acha kuzungumzia mabaya yake hii itakufanya kuzidi kuumia kwa sababu ukiyataja mabaya yake ndo unazidi kumkumbuka kwa uchungu na lengo ni kuondoa uchungu.

9.Ukikutana nae njiani msalimie kwa furaha kabisa alafu baada ya salamu kuwa bize zaidi na mambo yako sio unamuangalia kwa kumuibia,mtakutanisha mimacho yenu alafu ajisemee kimoyomoyo "kajamaa bdo kanaumia eee"

10.usikae peke yako kumaliza stress,kama unapenda mpira cheza mpira,kama unapenda game cheza game,kuwa na washkaji wanaopenda kuchekesha chekesha sio unakaa na washkaji wanaojadili mambo ya time travell watazidi kukutia stress...
 
Lkn nyie mbafanya utani na kuachwa nini!! Mleta mada bado wadogo.

Unaweza kugongwa na gari kuna ke/me watamuuuuu!! Heeee!! Hata ufanyeje hutakaa umpate tena.....
 
Back
Top Bottom