Uzi maalumu wa afya ya akili na wanaoteseka msongo wa mawazo

proton pump

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
5,373
6,906
Afya ya akili ni muhimu sana, kama akili haipo sawa na mambo mengine hayaendi

wapo wanaoteseka kwenye
๐Œ๐š๐ก๐ฎ๐ฌ๐ข๐š๐ง๐จ,
๐ง๐๐จ๐š,
๐ฎ๐œ๐ก๐ฎ๐ฆ๐ข,
Wezi,
wachawi,
magonjwa sugu,
ukatili wa kijinsia,
Dhuluma,
Rushwa,
na mengineyo

Karibu tupeane tina ya akili iitwayo psychotherapy.

Jaribu kujitibu mwenyewe ukiwa nyumbani kwa;
Kusikiliza nyimbo ๐ฆ๐ž๐๐ข๐ญ๐š๐ญ๐ข๐จ๐ง huku ukisali. Hii ni tiba nzuri sana hurudisha ubongo sehemu yake na kupona maumivu ya moyo.

Kufanya unavyovipenda mf kutizama movie.

Kuomba ushauri kwa mtu unayemwamini.

Kujichanganya na watu kama inawezekana.

KARIBU TUJUZANE NAMNA UNAVYOLINDA AKILI YAKO DHIDI MSONGO NA SONONA ILI TUJIFUNZE ZAIDI.

@Usisite kuja PM kama una tatizo linakusibu ni bure nimejitoa kwa ajili ya watu. wako proton pump inhibitor kipimo cha vidonda vya tumbo A PSYCHOTHERAPIST
 
Mnisaidie mie Nina vidonda vya tumbo sugu Toka nimevipata kule Lubumbashi hadi Leo sijapona๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
 
Afya ya akili ni muhimu sana, kama akili haipo sawa na mambo mengine hayaendi

wapo wanaoteseka kwenye
๐Œ๐š๐ก๐ฎ๐ฌ๐ข๐š๐ง๐จ,
๐ง๐๐จ๐š,
๐ฎ๐œ๐ก๐ฎ๐ฆ๐ข,
Wezi,
wachawi,
magonjwa sugu,
ukatili wa kijinsia,
Dhuluma,
Rushwa,
na mengineyo

Karibu tupeane tina ya akili iitwayo psychotherapy.

Jaribu kujitibu mwenyewe ukiwa nyumbani kwa;
Kusikiliza nyimbo ๐ฆ๐ž๐๐ข๐ญ๐š๐ญ๐ข๐จ๐ง huku ukisali. Hii ni tiba nzuri sana hurudisha ubongo sehemu yake na kupona maumivu ya moyo.

Kufanya unavyovipenda mf kutizama movie.

Kuomba ushauri kwa mtu unayemwamini.

Kujichanganya na watu kama inawezekana.

KARIBU TUJUZANE NAMNA UNAVYOLINDA AKILI YAKO DHIDI MSONGO NA SONONA ILI TUJIFUNZE ZAIDI.

@Usisite kuja PM kama una tatizo linakusibu ni bure nimejitoa kwa ajili ya watu. wako proton pump inhibitor kipimo cha vidonda vya tumbo A PSYCHOTHERAPIST
Nasikiliza sermons nkitoka kazini ni nyumbani nawasha DStv Chanelle 341,342,343,345 Na kinotebook pembeni Na Kalamu nkichoka nasikiliza nyimbo
 
Ili kupambana na afya ya Akili unatakiwa kufanya yafuatayo:-

1) Niweke bize kila siku Kwa kuwa na kitu cha kufanya.

2)Fanya vitu unavyovipenda sana, mfano kama ni mtazamaji wa muvi fanya hivyo.
3) Fanya breathing techniques (mazoezi ya pumzi) kila siku asubuhi ya jioni huku ukitafakari juu ya maisha yako wapi umekosea na nini kinakupa msongo wa mawazo.

4) Tafuta suluhu Kwa Yale mambo yanayokupa shida either Kwa kuyatatua mwenyewe au Kwa kuwashirikisha wale unaowaamini.

Kama unachangamoto yeyote karibu DM tushare pamoja.
 
๐š๐ฌ๐š๐ง๐ญ๐ž ๐ค๐ฐ๐š ๐ฆ๐œ๐ก๐š๐ง๐ ๐จ
 
Back
Top Bottom