Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

Samahani naomba ufafanuzi, kuna aina ngapi za wateja kutokana na matumizi ya umeme kwa mwezi na bei ya umeme kulingana na matumizi ya mtu kwa mwezi
 
Mbona hili limefafanuliwa kwa uzuri tu huko juu ianzie mwanzo hii theard
Samahani naomba ufafanuzi, kuna aina ngapi za wateja kutokana na matumizi ya umeme kwa mwezi na bei ya umeme kulingana na matumizi ya mtu kwa mwezi
li
 
Sie tunatumia umeme chini ya unit 50 kwa mwezi, mwaka sasa umepita, tulienda kujaza zile form za kubadilishiwa, sasahivi mwaka umepita hakuna taarifa yeyote, je tufanyeje ili tufanikishiwe hilo
 
... Inashauriwa Mteja kutumia vifaa vinavyotumia umeme mdogo (Energy Server), pia inashauriwa kuepuka vifaa vya mitumba sababu vingi vinatumia umeme mwingi.

Hizo energy server ndiyo zikoje mkuu?
 
Ila mita zile ambazo umeme ukibaki kidogo zinapiga alarm nzuri sana....maana kuna nyumba nimehamia ila mita yake haipigi alarm unashangaa tu umeme umeisha afu upo katikati ya game usiku inaboa sana

Ula wewe naye kituko!!
 
safi sana TANESCO. Kila idara au mamlaka ingekuwa hivi angalau wakawa na units mitandaoni kama CUSTOMER SERVICE hasa hapa jamii forums ingekuwa safi sana
 
... Inashauriwa Mteja kutumia vifaa vinavyotumia umeme mdogo (Energy Server), pia inashauriwa kuepuka vifaa vya mitumba sababu vingi vinatumia umeme mwingi.

Hizo energy server ndiyo zikoje mkuu?
Kutokana na tecnologia inavyo badirika na mambo hibadirika. Energy sever ni jina maarufu kwa vitumia umeme kidogo. Mf. Kama kunakifaa kinatumia umeme kidogo kuliko kifaa kama hichohicho cha kizamani basi kifaa hicho kinaweza itwa energy sever.

Mfano.
Unaweza kuta mtu nyumabi kwake ana taa ya tube light (Fluoriscante) yenye 40 Watts ina mulika kibarazani na inakesha usiku kucha
Lakini kuna taa hizi za kisasa ambazo zipo katika maumbo mbali mbali kama coil na maumbo mengine unakutabina 10 Watts. Na mwanga ni ulele

So kumbe tubelight moja inakula umeme ambao ungewasha taa nne.

So hivi vifaa ambavyo vipo optimized na vinaconsume less power than vile vya zaman ndo vimepewa generic name ya energy severs

Asante
Hazchem plate
2017
 
Toka juzi nilivyowaona hapa Jf kusema kweli nafurahi sana. Tanesco mnaangaza maisha yetu kweli kweli.
 
Back
Top Bottom