Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

Kutokana na tecnologia inavyo badirika na mambo hibadirika. Energy sever ni jina maarufu kwa vitumia umeme kidogo. Mf. Kama kunakifaa kinatumia umeme kidogo kuliko kifaa kama hichohicho cha kizamani basi kifaa hicho kinaweza itwa energy sever.

Mfano.
Unaweza kuta mtu nyumabi kwake ana taa ya tube light (Fluoriscante) yenye 40 Watts ina mulika kibarazani na inakesha usiku kucha
Lakini kuna taa hizi za kisasa ambazo zipo katika maumbo mbali mbali kama coil na maumbo mengine unakutabina 10 Watts. Na mwanga ni ulele

So kumbe tubelight moja inakula umeme ambao ungewasha taa nne.

So hivi vifaa ambavyo vipo optimized na vinaconsume less power than vile vya zaman ndo vimepewa generic name ya energy severs

Asante
Hazchem plate
2017
Kumbe kinachomaanishwa hapa ni energy savers na siyo energy servers. Maana nilivyoona neno servers basi mimi mawazo yangu yakanituma kwenye mambo ya kompyuta.
 
Wakuu hivi nikichchukua sumaku let say ile ya spika za kanisani nikaiweka 1mm karibu na hizi mita za tanesko , je mita itasoma . ama umeme utapita Free.
 
naweza kupata namba yako ya simu personal au email? ninahitaji ushauri wa kina maana nina tatizo kubwa.
Kuna ile clip ya rais . inasema hivi. Hili jambo halihitaji siasa, maneno ni mawili tu Ka ta , hata iwe ikulu we Ka ta . hata iwe jeshi we kata , mawili tu we kata ,nasema KA TA . natumai tumeelewana.
 
Tanesco mimi nashida hapa napokaa! Kila baada ya siku mbili umeme lazima ukate kwetu huku majirani wakiwa na umeme muda wote ukiuliza shida nini? Unaambiwa line yetu ina tatizo! Is that fair kweli? Imekuwa too much sasa hapa Urafiki Maeneo ya Kiliman hospital hazipiti siku mbili umeme unakata line ya nyumba nne tu kisingizio line yetu na hata umeme ukikata mtaa mzima na ukirud kwetu haurud kwa wakati kwa kisingizio cha line yetu ina tatizo
Kwa tatizo hili kwanini msiende ofisini mkuu?? Komaeni wawabadilishie laini au warekebishe tatizo
 
Mimi natumia kama uniti 30 tuu kwa mwezi namiye nitafanyaje niwe nalipa Tsh 100 kwa unit?
Kama ni kweli , hebu angalia matumizi yako ya umeme kwa miezi sita nyuma mutawalia (consecutive) kama umeweza pata average ya 30 up to 70. Wewe utakuwa umefaulu vigezo vya kuwekwa zero tariff. Utapewa form ujaze kisha utabasilishwa tariffs. Kwa maelezo zaidi sogea kituo cha huduma kilicho karibu nawe.
 
Back
Top Bottom