Fahamu madhara ya kutokuwa na mpenzi muda mrefu

1. Kutokujijali katika uvaaji kutokujali vitu vyako kama simu yako, mara nyingi utakuwa unalaumiwa kwa kosa la kutokupokea simu kwani huna mtu atakaekufanya uwe “busy” na simu.

2. Utajikuta unamarafiki wengi zaidi wa jinsia tofauti na kujikuta unaanza kupoteza “uanaume” au “uanamke” wako.

3. Ulaji mbovu kutokana na kuzoea kula peke yako. Utafiti unaonyesha kuwa, watu wenye wapenzi hula kwa staha zaidi ili kuwafurahisha wapenzi wao kuliko watu wasio na wapenzi.

4. Msongo wa mawazo.Hii ni kutokana na kukosa mtu wa karibu unaeweza kumuambia siri yako ya ndani. Utajikuta unatumia muda wako mwingi kuwaza matatizo yako, na inapotokea uko na marafiki zako, utaogopa kuwashirikisha kwa kuhisi kwamba utachekwa.

5. Unakosa kujiamini katika maisha ya kawaida.

6. Ubinafsi na kufikiria nafsi yako tu siku zote.

7. Itaathiri utendaji wako wa kazi!Kweli?Ndio usipokuwa na mpenzi mpaka umri huo, utajikuta unakaa masaa ya ziada kazini na wafanyakazi wenzako watakupa kazi zao kwani utaonekana huna majukumu meng.

8. Siku ukipata mpenzi utajikuta huwezi kutawala suala la mapenzi, na litachukua muda wako mwingi.

9. Utajikuta unatawaliwa sana na mchezo wa kujichua (Punyeto)

10. Upweke hasa ukikuta marafiki zako wengi wana wapenzi na hii inaweza kukuathiri kisaikolojia na kuanza kuhisi kwamba una matatizo.
umenchoma bhn kama ulikua unataka kunambia s ungenPM kuliko kuntia fedheha buana
 
Comment nyingi zinaonyesha wengi hawana wapenzi. Looh nikajua ni mimi mwenyewe
 
1. Kutokujijali katika uvaaji kutokujali vitu vyako kama simu yako, mara nyingi utakuwa unalaumiwa kwa kosa la kutokupokea simu kwani huna mtu atakaekufanya uwe “busy” na simu.

2. Utajikuta unamarafiki wengi zaidi wa jinsia tofauti na kujikuta unaanza kupoteza “uanaume” au “uanamke” wako.

3. Ulaji mbovu kutokana na kuzoea kula peke yako. Utafiti unaonyesha kuwa, watu wenye wapenzi hula kwa staha zaidi ili kuwafurahisha wapenzi wao kuliko watu wasio na wapenzi.

4. Msongo wa mawazo.Hii ni kutokana na kukosa mtu wa karibu unaeweza kumuambia siri yako ya ndani. Utajikuta unatumia muda wako mwingi kuwaza matatizo yako, na inapotokea uko na marafiki zako, utaogopa kuwashirikisha kwa kuhisi kwamba utachekwa.

5. Unakosa kujiamini katika maisha ya kawaida.

6. Ubinafsi na kufikiria nafsi yako tu siku zote.

7. Itaathiri utendaji wako wa kazi!Kweli?Ndio usipokuwa na mpenzi mpaka umri huo, utajikuta unakaa masaa ya ziada kazini na wafanyakazi wenzako watakupa kazi zao kwani utaonekana huna majukumu meng.

8. Siku ukipata mpenzi utajikuta huwezi kutawala suala la mapenzi, na litachukua muda wako mwingi.

9. Utajikuta unatawaliwa sana na mchezo wa kujichua (Punyeto)

10. Upweke hasa ukikuta marafiki zako wengi wana wapenzi na hii inaweza kukuathiri kisaikolojia na kuanza kuhisi kwamba una matatizo.
Mtoa mada namba 4 inanitesa sana.
 
Mda gani ukikaa bila mpenzi ndio unakua mda mrefu?
 
hivi mwanaume unaanzaje kutokuwa na mpenzi kwa muda mrefu?!
Unaweza kama ukiamua baada ya kupata walewale wapasua vichwa mkuu mwanzo unakuwa mgumu ila baadae unazoea ukishazoea madhara yakugharimu tena bila wewe kujua wewe unaona sawa wakati unazidi potea
 
Ss mnatushaurije jamani ss wahanga????
 
Kwa moto niliochomwa kwa sababu ya mahusiano acha tuu. Kupotezewa muda, hela, malengo ya maisha , kudhalilishwa na mengi tuu. Mahusiano ya sasa ni pasua kichwa.Baadhi ya Wanaume ni waongo na matapeli sana . Baadhi ya Wanawake ni wasanii Sana. Nawachukia walionitenda. Kwa hayo uliyoaandika hayawapati watu wote mmoja wapo ni mie.
 
Back
Top Bottom