Fahamu madhara ya kutokuwa na mpenzi muda mrefu

Director D

Senior Member
Feb 24, 2016
192
229
1. Kutokujijali katika uvaaji kutokujali vitu vyako kama simu yako, mara nyingi utakuwa unalaumiwa kwa kosa la kutokupokea simu kwani huna mtu atakaekufanya uwe “busy” na simu.

2. Utajikuta unamarafiki wengi zaidi wa jinsia tofauti na kujikuta unaanza kupoteza “uanaume” au “uanamke” wako.

3. Ulaji mbovu kutokana na kuzoea kula peke yako. Utafiti unaonyesha kuwa, watu wenye wapenzi hula kwa staha zaidi ili kuwafurahisha wapenzi wao kuliko watu wasio na wapenzi.

4. Msongo wa mawazo.Hii ni kutokana na kukosa mtu wa karibu unaeweza kumuambia siri yako ya ndani. Utajikuta unatumia muda wako mwingi kuwaza matatizo yako, na inapotokea uko na marafiki zako, utaogopa kuwashirikisha kwa kuhisi kwamba utachekwa.

5. Unakosa kujiamini katika maisha ya kawaida.

6. Ubinafsi na kufikiria nafsi yako tu siku zote.

7. Itaathiri utendaji wako wa kazi!Kweli?Ndio usipokuwa na mpenzi mpaka umri huo, utajikuta unakaa masaa ya ziada kazini na wafanyakazi wenzako watakupa kazi zao kwani utaonekana huna majukumu meng.

8. Siku ukipata mpenzi utajikuta huwezi kutawala suala la mapenzi, na litachukua muda wako mwingi.

9. Utajikuta unatawaliwa sana na mchezo wa kujichua (Punyeto)

10. Upweke hasa ukikuta marafiki zako wengi wana wapenzi na hii inaweza kukuathiri kisaikolojia na kuanza kuhisi kwamba una matatizo.
 
Si kweli kabisa!! Hata kidogo! May be ila kwangu mie nina 2yrz sina mpenzi, najipenda nang'aa sina stress mwenye mpenzi hanizidi chochote!
Nimekuwa mshauri wa wenye wapenzi wao kila siku machozi wamefubaa hakuna mfano. mm na uzee huu narudi kuwa under 18. Coz sina stree

Ila mara moja kwa mwaka kwa dharula, "kuchukua sahani inayonifaa nikapakua nikala nikashiba nikaiosha nakuifuta vizuri nakurudisha kabatini sio mbaya"
watu tuna life style zetu so jisemee wewe! Hayo madhara sio general.

Wazee wenzangu nadanganya??
 
Kweli kabisa
 
Comments zako nyingi tu zinaonyesha how stressed you are. I might be wrong though...
 
Back
Top Bottom