Mkuu umesema ukweli lakini hivyo vyote mbona nimeweza kuvumudu na mpaka sasa nina kati ya miaka 29--32 na sina mwanamke na nimeamua nifanye mambo yangu kwanza!!na sio kwamba kilato sina nina kazi na ni mwajiriwa na namshukuru mungu mambo yanaenda!!ila hapo namba 9 kidogo pananihusu sana[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.