Fahamu madhara ya kutokuwa na mpenzi muda mrefu

Fahamu madhara ya kutokuwa na mpenzi muda mrefu

Nitafuteni niwafungushe ndoa/niwasululishe hope there has been something wrong for while between you guys!!
nakuomba tena nakuomba sana plz hatujuani so nikicoment kitu wewe pita coz hata mm sijawahi kukufatlia isiwe ishu this is my life plzz kurumbana ba watu spendi.

NaRumbana vipi na wewe bi bekhresa? Kusoma comments zako sio kukufuatilia kiazi we. Wenye life lao hawatoi stress zao humu.

mwanamke wa kizaramo sikuwezi wewe tukana ukichoka uache yaan nakushangaa mara umeshaanza kuniita bakhresa haya yote yametoka wap? Kisa nilisema sina stress ndo iwe ishu ya kukuza hivi? Watu wengine sijui wakoje wewe tukanaaaaaa weee upate sifa ila matusi yako hayatabadilisha status yangu. Shusha matusi yote ushinde afu unasahau kuwa humu jf kuna watu tunajuana face to face tena watu wenye heshima zao kwaiyo siwezi kuandika kitu ambacho hakifanani na mm watanishangaa! Wewe tukana nina imani tunaojuana wanapita hapa wanaona unachokiandika
 
Nitafuteni niwafungushe ndoa/niwasululishe hope there has been something wrong for while between you guys!!
Nothing's wrong kiongozi, my message was badly interpreted. Ni kawaida kutofautiana. Peace!!!
 
Unakosaje mpenzi ukiwa kama Mke uliekamilika vinginevyo uwe huna mayai au mwanaume rijali unakosaje mana hata mnaosema mapadri mbona huku mtaani tunanyang'ana mademu na kama ni masista nao wanawachumba tena siku wanapenda kukazwa huwa lazima watembee wawili
 
1. Kutokujijali katika uvaaji kutokujali vitu vyako kama simu yako, mara nyingi utakuwa unalaumiwa kwa kosa la kutokupokea simu kwani huna mtu atakaekufanya uwe “busy” na simu.

2. Utajikuta unamarafiki wengi zaidi wa jinsia tofauti na kujikuta unaanza kupoteza “uanaume” au “uanamke” wako.

3. Ulaji mbovu kutokana na kuzoea kula peke yako. Utafiti unaonyesha kuwa, watu wenye wapenzi hula kwa staha zaidi ili kuwafurahisha wapenzi wao kuliko watu wasio na wapenzi.

4. Msongo wa mawazo.Hii ni kutokana na kukosa mtu wa karibu unaeweza kumuambia siri yako ya ndani. Utajikuta unatumia muda wako mwingi kuwaza matatizo yako, na inapotokea uko na marafiki zako, utaogopa kuwashirikisha kwa kuhisi kwamba utachekwa.

5. Unakosa kujiamini katika maisha ya kawaida.

6. Ubinafsi na kufikiria nafsi yako tu siku zote.

7. Itaathiri utendaji wako wa kazi!Kweli?Ndio usipokuwa na mpenzi mpaka umri huo, utajikuta unakaa masaa ya ziada kazini na wafanyakazi wenzako watakupa kazi zao kwani utaonekana huna majukumu meng.

8. Siku ukipata mpenzi utajikuta huwezi kutawala suala la mapenzi, na litachukua muda wako mwingi.

9. Utajikuta unatawaliwa sana na mchezo wa kujichua (Punyeto)

10. Upweke hasa ukikuta marafiki zako wengi wana wapenzi na hii inaweza kukuathiri kisaikolojia na kuanza kuhisi kwamba una matatizo.
Uuwii sasa ntampata wapi mpnz maana niliko hawako?
 
Kuishi bila mahusiano ya kimapenzi ndiyo jawabu:
1) Jipende: tafuta na fanya shughuli yoyote ya kutokukuweka mpweke km michezo, kujisomea, kutafakuri.
2) Jenga uhusiano wa kirafiki na watu wengi: uweze kuongea nao na kutembeleana ili kubadilishana mawazo.
3) Usidharau uhitaji wa vitu mhimu kwa maisha yako: uwe navyo vya kutosha muda wote
4) Ipende kazi yako kama unavyojipenda nwenyewe

Kumbuka ngono ni "state of mind for an idle mind". Mtoa mada anawaza kingonongono tu. Ujana huo
 
Mbona mie sina muda mrefu na sina madhara
 
Mtoto wa kiume hajaoa hana demu hagongi wala hapigi nyeto! Duh kuna Vijana wako smart sana kama nao hawalambwi Migongo
 
Back
Top Bottom