bailamos
Senior Member
- Nov 14, 2015
- 188
- 122
Si kweli kabisa!! Hata kidogo! May be ila kwangu mie nina 2yrz sina mpenzi, najipenda nang'aa sina stress mwenye mpenzi hanizidi chochote!
Nimekuwa mshauri wa wenye wapenzi wao kila siku machozi wamefubaa hakuna mfano. mm na uzee huu narudi kuwa under 18. Coz sina stree
Ila mara moja kwa mwaka kwa dharula, "kuchukua sahani inayonifaa nikapakua nikala nikashiba nikaiosha nakuifuta vizuri nakurudisha kabatini sio mbaya"
watu tuna life style zetu so jisemee wewe! Hayo madhara sio general.
Wazee wenzangu nadanganya??
Nafikiri mtoa mada amelenga wale ambao hawajaikubali hiyo hali ya kutokuwa na wapenzi muda mrefu..tofauti na wewe umeamua hyo style iwe yako hapo ndipo kuna utofauti