Fahamu maana ya baadhi ya misamiati ya Kipare

Hebu Tuleteeni Stori za Msekwa Jimama maarufu Sana Upareni Nasikia Alikuwa na Jicho Moja linawaka kama Taa, Enzi Za Sultani Alipokuwa anatawala Upareni
 
harika mrughu wangu. jakaya? ayo mwaoshwa virundu na icho kirundu kirundie toka huko haeee thana.
fumani ndhe jamani.
 
...Anyway kuna kwa kabila lingine ikimaanisha mungu (watu 4 wamewasiliana nami kwa hilo).....
Aise ni kweli, sema namna linavyotamkwa 'inavutwa' kidogo...ni kama kuna 'u' mbili baada ya 'g' na ile 'vi' mwisho inakuwa na mshindo (inasikika zaidi)... "Nguuru'vi".
 
ethina mburi......
Mburi aani preta! ugaya chasu kave. nahavache

Mburi=jambo
hethina= hakuna
ugaya=unaongea
Chasu= kipare, Mwasu=mpare
Kave=kumbe

Mpare si neno halisi la kabila ingawa sasa imekubalika hivyo. Original ni Mwasu (a.k.a mwathu). Neno mpare limetokana na historia ya vita kati yao na shirikisho la wachaga(sio kabila). Neno mparee kichaga maana yake mpige na panga, wakati wanapigana wachaga walikuwa wanasema mpare yaani mpige ndipo neno hilo likatokea.

Kipare kinaingiliana kiasi na kisambaa, na wapare wenyewe wanaishi milimani kule Ugweno, Usangi, Mbaga, Vudee, Goma, Kwakoa, mamba miamba n.k.
 
Kave na we ni mlamua...avae...............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom