Fahamu kuhusu msukule


inamana islael hamna uchaw
 
Nyie ndio wachawi wenyewe unatuzuga ili uendelee kutumaliza tukawalimie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umeweza kuelezeka kuhusu msukule then wewe ni nani usiamini uwepo wa Mungu.
Tuzidi kujiimarisha kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa maada, swali ni kuwa ntajuaje kuwa ndugu yangu kachukuliwa msukule (pale inapotokea ndugu yangu kafariki)...maana nataka kila ndugu yangu anapofariki niwe na prove kama kafa kweli au lah...

Kwa hiyo ww upo kwa ajili ya ndugu zako wafe ili uchunguze wamekufaje,vipi ulianza kufa ww kabla ya hao unaotaka kuwachunguza Mkuu!!!
 
Mumpeleke akakanyage mafuta mbona simple tu.
 
Sayansi ya sensa ya sita, upuuzi mtupu ukitumia sensa tano kutafsiri....

Hata hivyo bado ni upuuzi kwa kuwa tumeumbwa kutumia sensa tano na sio zaidi.
 
Acha upopoma, wakati huku kwetu watoto wa wanaoshinda kanisani ndo wanabebwa kichawi KIRAHISI sana!!!


Kizibo

Amesema ukiwa ndani ya Kristo .Sio ukiwa ndani ya kanisa.Unajua tofauti ya kuwa ndani ya Kristo Na kwenda kanisani kila Leo ?Kuwa ndani ya Kristo ni Kuishi maisha yanampendeza Mungu Yaani kuwa msafi.Na hiii haimaanishi kila anaeshinda kanisani ni msafi.Hao wanaoshinda kanisani Na bado Wanachukuliwa misukule ujue hawako ndani ya Kristo.Wanaenda kanisani lakini matendo yao ni maovu.Hakuna aliye ndani ya Kristo (anayeishi maisha matakatifu Au aliye Na wokovu) anayechukuliwa Msukule wewe,HAYUPO.Yaani achukuliwe msukule Na Mungu anakuwa wapi wakati huo kulinda mtu wake ?Likizo Au ?Hakunaga hiyo


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…