Fahamu kuhusu msukule

Ulienda makete kutafuta pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla hajarudishiwa roho yake si anakua bado mfu atajuaje ndugu zake wakati bado amekufa?umeeleza wakitoka makaburini hupitia nyumban kwao kuona kama atakumbuka ndugu zake alafu anaenda nyumbani kwa mchawi na kurejesha roho yake... Mortoo Mtomboo Mavii😁😁😁😁
Kumbe kaburini kuna MAVI!?
 
Kwetu kuleee, ukichukua tete ukalikata katika pingili zake, yaani uwe na vipande viwili vya tete vilivyokatwa katika pingili zake usubiri wakati mwili wa marehemu unatolewa ndani kupelekwa makaburini( maana kwa mda huu ndiyo mchawi anabeba mwali wake) ukae karibu na kizingiti cha mlango uviunganishe ivyo vipande viwili, kimoja mkono wa kishoto kingine kulia. Hakika hakika nakwambia kama nduguyo hajafa kifo cha kawaida jeneza lake halitapita Kwenye huo mlango. Then utajua ufanyeje kumwokoa nduguyo maana kikwetu kwetu mtu aliyechukuliwa msukule mkishazika lile lisanamu mlilowekewa ndo mnamwekea zindiko la kudumu ndugu yenu hasionekane milele.
Mtoa maada, swali ni kuwa ntajuaje kuwa ndugu yangu kachukuliwa msukule (pale inapotokea ndugu yangu kafariki)...maana nataka kila ndugu yangu anapofariki niwe na prove kama kafa kweli au lah...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafuta gani ukimpaka unaona kilicho zikwa??.
 
ACHA KUPOTOSHA UMA,KAA UKIJUA MAISHA YA KUABUDU BADO NI FUMBO AMBALO MPAKA WEWE UTAINGIA KABURIN HAKUNA JIBU UTAKUA UMELIPATA,IVI UNAFIKIRIA KWELI WEWE??NA KAMA UNAFIKIRIA KWANINI KUNA MADINI MENGI KWENYE HII DUNIA??UKINIJBU TUTAENDELEA.
 
HAKUNA KITU KAMA HICHO DUNIANI,LIVINGTHING NEVER LIVE 4REVER,ELIMU YA KIDATO CHA KWANZA MIAKA HIYO NIKIWA GALANOS.JAPO TUNAPASWA KUMUITA MSHANA JR MZEE WA JICHO LA TATU AJE ATUJUZE ZAIDI,MAANA JAMAA NAE DAH HUWA SIJUI ANAMEZA WAPI SUMU ZAKE.
 
Je, mizukule hawatakiwi kuwa wasafi, kula vizuri na kurelax kama binadamu wa kawaida?
Pia napenda kujua, hv hawa ukifanikiwa kuwaona Je, wanashikika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PROVE THAT 10=5,THAT IS LIFE AND DEATH.UCHAWI UPO SANA TENA,HAKUNA ANAEKATAA ISIPOKUA FUMBO AMBALO BADO MWANADAMU ASIEJIELEWA ATAENDELEA KUPATA TAABU HUKU AKIENDELEA KUIBIWA NI SUALA LA UDINI,KWAKWELI HAPA NASHINDWA KUWAELEWA HAWA WATU AMBAO UFAHAMU WAO UMESHAJAZWA VIDUDU(VIRUSES) AMBAVYO HUWEZI KUWABADIKI MTAZAMO WAO JUU YA HAYA MADINI YASIYOELEWEKA.
 
Ujue ukweli huu wewe uliye ndani ya Yesu, ili usiendelee kuhangaika na vitu ambavyo wala hutakiwi hata kuviwaza katika maisha yako kwa sababu havitakiwi kuwepo kabisa kwenye ratiba ya mambo yako ya kila siku: Jua kwa uhakika kabisa kuwa Bwana au Yesu:
1. Anajua yote;
2. Anaweza yote;
3. Yuko kila mahali;
4. Alimnyang'anya Shetani Funguo na Mamlaka ya Mauti na Kuzimu;
5. Uhai wako umefichwa ndani yake; hayupo anayeweza kuuchukua uhai wako, kwa sababu ili auchukue, inabidi auchukue uhai wa Yesu kwanza, kitu ambacho ni kama mtu kujaribu kuogelea kwenye uji wa chuma cha moto kilichoyeyuka, akidhani kuwa ni maji ya Baharini au Ziwa
6. Shetani-yeye hayuko kila mahali

Ukiwa ndani ya Yesu, jua pia mambo haya mawili makubwa ya nyongeza: Nitayasema kwa Kiingerza kwa sababu ni "quotes" kutoka kwenye kitabu nilichowahi kukisoma

1.EVERY MOVE OF THE ENEMY MUST COME BY PERMISSION, UNDER THE PROTECTIVE HEDGE OF JESUS CHRIST. Kwa hiyo ukiona kitu ambacho hakieleweki kimekuja kwako, na hauna tatizo lolole kiroho, jua kuwa Yesu yuko nyuma yake, na anataka kuongea na wewe kitu ili akupandishe kutoka ngazi moja ya chini, kwenda nyingine ya juu, INAYOFUATA (tatizo moja kwa Yesu ni kuwa huwa hakuna kurushwa ngazi!)

2.WE FIGHT NOT FOR VICTORY, BUT FROM VICTORY
Ukiwa ndani ya Yesu, hupigani ili ushinde. Vita ilishapiganwa siku nyingi Kalvari na mshindi anajulikana. Ukiona kuwa una vita, jua kabisa kuwa unapigana ukiwa ndani ya ushindi, unapigana vita ambayo mshindi anajulikana, na katika uhalisia anayepigana ni yule ambaye alishawahi kushinda vita, analazmikika kupigana tena sababu ya upumbavu wa wasiomheshimu, na anatamani safari hii ajitambulishe kwa viwango vipya kabisa ambavyo havijawahi kuonekana tangu kuumbwa kwa ulimwengu, kuwa YEYE NI NANI!
 
Mpelekeni kwenye Kanisa la walokole, ni swala la dakika kadhaa tu. Yaani hata usipomkuta Mchungaji, wakabdihi vijana tu walioko hapo Kanisani halafu subiri dakika kadhaa. Nakuhakikishia hilo wala siyo utani! Walokole wanafufua aliyekufa, achilia mbali Msukule. Mnaweza pia mkampeleka kwa Mchungaji Josephat Gwajima kwa sababu yeye kufufua wafu ndiyo chai yake ya asubuhi. Utafikiri ninakudanganya!
 
peleka mafia huyo sehem moja inaitwa juani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…