FAHAMU KUHUSU MBWA KWENYE DAWA ZA MAPENZI
MBWA hutumika sana kwenye dawa za mvuto wa mapenzi kama anavyotumika mnyama aitwae ngekewa. Lakini mbwa hutumika kwa matukio makubwa.
Mbwa hutumika lights mpenzi na kugandisha wadhinifu. Leo ntaongelea kuhusiana na kuvuta wapenzi hlo la kugandisha linahtaj utashi wa Hali ya juu kama ukhtaj nitafute private si kwa mafunzo.
Inaaminika mbwa anapenda nyama sana kuliko nyasi hvyo dawa Hii itakuhitaj upate kipande cha nyama yoyote ila ikiwa ya kondoo itapendeza zaidi.
Nyama pia hutumika kitengeneza malimbwata kama umewah kuckia watu wakisema Yule kalishwa nyama ya chini hasikii haoni basi ni hyo nyama inatengenezwa kuna sehem inawekwa anapewa muhiska. Khhusu hili pia nitafute private na uwe kwenye ndoa.
Mahitaji ya dawa yetu
Nyama
Mbwa
Karatasi
Zafaran au kalamu nyekundu
Chungu cha zaman
Chukua karatasi andika majina yenu wahusika kwa kalamu nyekundu kama utakosa zafarani. Jina la mwanamke likae kushoto la mwanaume kulia.
Ukimaliza andika unachokitaka kwenye hyo karatasi kisha ikate nyama yako weka pamoja na hiyo karatasi kwenye chungu ichemshe hakikisha Ile karatasi inakatika vpande vpande inaingia kwenye nyama.
Ukimaliza mtafute mbwa wa jinsia umtakaye kama ww mwanaume tafuta wa kike kama mke tafuta mbwa wa kiume
Mbwa anayetakiwa hapa si wakufungwa bandani Wale watembeaji
Mpe hiyo nyama sema kama mbwa huyu anavyohangaika kutafuta madume na chakula basi na fulan bin au bint fulan anitafute ahahe kama anavyohaha mbwa huyu kws ajili yangu mpe ale.
Hakikisha unapika kwa usaf kama unampkia muhusika...
Tumia njia hii kama njia za kawaida zimekushinda...