Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 7,088
- 13,515
Toa na madhara yake chief
Tafadhali usiniandike kwenye hiyo karatasi ..sina muda wa kuhaha mimiMtaalamu Mr Nyau nikihitaji nihangaikiwe na vidume wawili natafuta mbwa wawili au huyo huyo mbwa koko mmoja nampa mara mbili, nasubiri jibu nyama ishaiva nmemuekea na royco.
Itakua konki konki konkimfano ukikosea mwanaumme ukampa hiyo dawa mbwa dume inakuwaje?
HahahahahahahaItakua konki konki konki
Usijali relax man wote unaotuona kwenye huu uzi tunashida na dawa, hakuna wa kukufikiria vibaya kuwa na amaniHIV UNA DAWA YA KUJINASUA PALE ZINAPOGANDANA JE DAWA YA KUMTAFUNA MKE WA MTU USISHIKWE ? NIMEULZA TU WALIMWENGU MSINIFIKIRIE VIBAYA
wewe ndio utaanza kuhaha kumtafuta mpenzi wako "reversed limbwata"Itakuwaje kama mimi ni ke nikakosea nikampa mbwa dume?
Hatariwewe ndio utaanza kuhaha kumtafuta mpenzi wako "reversed limbwata"
Toa mwongozo. Watu tuingie mzigoni mkuuMakinika na side effects [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3] dah..nimecheka hii comment mpaka nimeamua kuandika! Umenichekesha sana mkuu...akikujibu naomba unitag mkuu....Mtaalamu Mr Nyau nikihitaji nihangaikiwe na vidume wawili natafuta mbwa wawili au huyo huyo mbwa koko mmoja nampa mara mbili, nasubiri jibu nyama ishaiva nmemuekea na royco.
Mungu wangu mbona utakoma? Ha haaaaKuna mbwa koko wanapita usiku hapa home sijui jinsia zao.ni group kubwa .sasa wakila wote Mkuu?