fahamu kuhusu mbwa kwenye dawa za mapenzi

fahamu kuhusu mbwa kwenye dawa za mapenzi

Mtaalamu Mr Nyau nikihitaji nihangaikiwe na vidume wawili natafuta mbwa wawili au huyo huyo mbwa koko mmoja nampa mara mbili, nasubiri jibu nyama ishaiva nmemuekea na royco.
Royco???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tumia umbo na viungo vyako ku-win kimapenzi,na sio kwa hizi njia kwani hutofurahia mapenzi; kwa sababu unajua kiuhalisia kuna sehemu uli-fake ndio maana uko naye.
 
Royco???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah nataka mapenzi yenye viungo viungo manjonjo manjonjo ndo maana nmemuwekea royco, mtaalamu mwenyewe hanijibu
 
Back
Top Bottom