Fahamu kuhusu Kilimo cha Strawberries

Fahamu kuhusu Kilimo cha Strawberries

Kama bado haujapata miche.ya strawberry, nitafute nikuletee hiyo miche unayohitaji. Nipo Dar though mashamba yangu yapo Morogoro. +255765452928 au +255713769013 Emanuel Fidelis Mgimwa

Uko na mbegu type gani mkuu??? Mie nipo dar makumbusho nami nahitaji
 
so unauzaje kwa kila mche? nitahitaji kama miche 100
 
Msaada huo unazingatia mahitaji muhimu kabla ya kuanza kulima niandae vipi shamba langu,mbegu kwa hapa Tanzania hasa Dar es salaam ntazipata wapi? na mengine unayo ona muhimu
 
Umezunguka kariakoo hakuna mbegu?
Strawberries niliziona songea silujua kama dar zinakubali
 
strawberries kwa hapa kwetu bado sana,ila ni kilimo cha kawaida sana niliona upande wake europe.
 
Nilifikiria kuhusu kilimo cha strawberries hapa Tanzania kama miaka mitatu sasa. Ila hapa kwetu sijui mbegu zinapatikana wapi. Najua mbegu zake ni mizizi tofauti na mbegu nyengine. Na ukishapanda maramoja tu unaweza kuvuna miaka mingi.
 
Msaada huo unazingatia mahitaji muhimu kabla ya kuanza kulima niandae vipi shamba langu,mbegu kwa hapa Tanzania hasa Dar es salaam ntazipata wapi? na mengine unayo ona muhimu

Kuna Mamma mmoja Arusha Mzungu anaIlima ana kampuni inertia Kilihortex ni tapir balaa, search online anaweza kukusaidia ni mtu mzuri. Sana
 
Back
Top Bottom