Waone TAHA wakupe muongozo wa soko, aina inayotakiwa, masharti ya utunzaji nk
TAHA ya nini mkuu wakati super Market zetu zina Malimau kutoka Uganda? Yetu ndo yale yasio kuwa na qualitt. Soko la ndani bado kubwa lipo na linatosha kabisa.
Mkuu nashukuru sana kwa maelelezo yako nimekuelewa vizuri sanaJinsi ya kuandaa kitalu cha malimao
1.Tafuta malimao yaliyokomaa, ukipata Yale ambayo yameshatia njano ni vizuri zaidi
2.kata pande mbili na ukamue zile mbegu zake kwenye chombo
3. Safisha mbegu zako kwa maji safi
4.Anika mbegu zako kama jua lipo la kutosha siku moja tu inatosha
JINSI YA KUOTESHA MBEGU ZA MALIMAO KWENYE KITALU
1.Tafuta eneo lenye kivuli ambalo halina jua kali
2.Tengeneza Tuta lako likiwa pembe nne ni vizuri zaidi
3.Lainisha udongo wa kwenye Tuta mpaka uwe laini
4.Mwaga mbegu zako kwenye kitalu
5.Funika mbegu zako kwa kutumia udongo laini ambao hauna mawe.
6.Funika na matandazo kama nyasi
7.Endelea kumwagilia maji kwenye kitalu kuhakikisha unyevunyevu haupungui.
NINI CHA KUFANYA MBEGU ZIKIANZA KUOTA
1.Andaa udongo wa Mtoni, udongo wa msituni na mbolea ya samadi kwa Ratio ya 1:2:3 inategemea na aina ya kipimo unachotumia ila mara nyingi tunatumia ndoo
2.kata viriba vyako kuanzia cm 7 mpaka 10
3.jaza viriba vyako udongo uliouandaa
4.panga viriba vyako kwenye kivuli vizuri
5.Anza kung'oa miche angalau yenye majani mawili mpaka matatu na uichomeke kwenye viriba
6.Endelea kumwagilia maji kuhakikisha unyevunyevu haupungui
JINSI YA KUPANDA MICHE YA LIMAO SHAMBANI
1.Andaa shamba lako
2.Andaa mashimo yako, shimo liwe angalau Futi mbili urefu na Futi mbili upana (umbali wa shimo hadi shimo iwe angalau mita 5mpaka mita 7 na mstari mpaka mstari hivyo hivyo
3 weka mbolea ya samadi angalau ndoo ndogo mbili kila shimo
4.panda mche wako wa limao
Kumbuka muda mzuri wa kupanda mche wa mlimao ni kipindi cha masika
Kama hujaridhika na maelezo nitafute pm
3.
Asante mkuu, limao pia ni tiba ndio maana nikaona fursa ingawa nimechelewa sana!Zao la limao soko lake lipo juu kuzid machungwa, hutajuta mkuu
Hilo wazo la nimechelewa liondoe kwenye akili yako Tanzania kuna watu wangap ambao hawajawaza wazo kama lako so its a right time kikubwa zingatia ushauri wa wataalamu na ufanyie kazi.Siku zote binadamu tumeumbwa na pupa so acha kujikatisha tamaa eti nimechelewa sana don't think about that still upo vizuri we ingia kwenye field ALLAH AKUFANYIE WEPESI...Asante mkuu, limao pia ni tiba ndio maana nikaona fursa ingawa nimechelewa sana!
Nashukuru ngoja tupambane mkuu!Hilo wazo la nimechelewa liondoe kwenye akili yako Tanzania kuna watu wangap ambao hawajawaza wazo kama lako so its a right time kikubwa zingatia ushauri wa wataalamu na ufanyie kazi.Siku zote binadamu tumeumbwa na pupa so acha kujikatisha tamaa eti nimechelewa sana don't think about that still upo vizuri we ingia kwenye field ALLAH AKUFANYIE WEPESI...
Machungwa, limao na machenza yako katika jamii moja iitwayo Citrus kwa hiyo maelezo ya machungwa na machenza hayawezi kupishana sana na uzalishaji wa limao .Nipe njia nimeuliza lakini wanaleta matokeo tofauti na nachouliza
yaani nauliza limao wanaleta habari za machungwa au machenza
Maelezo yamejitosheleza zao la limao liko juu SanaJinsi ya kuandaa kitalu cha malimao
1.Tafuta malimao yaliyokomaa, ukipata Yale ambayo yameshatia njano ni vizuri zaidi
2.kata pande mbili na ukamue zile mbegu zake kwenye chombo
3. Safisha mbegu zako kwa maji safi
4.Anika mbegu zako kama jua lipo la kutosha siku moja tu inatosha
JINSI YA KUOTESHA MBEGU ZA MALIMAO KWENYE KITALU
1.Tafuta eneo lenye kivuli ambalo halina jua kali
2.Tengeneza Tuta lako likiwa pembe nne ni vizuri zaidi
3.Lainisha udongo wa kwenye Tuta mpaka uwe laini
4.Mwaga mbegu zako kwenye kitalu
5.Funika mbegu zako kwa kutumia udongo laini ambao hauna mawe.
6.Funika na matandazo kama nyasi
7.Endelea kumwagilia maji kwenye kitalu kuhakikisha unyevunyevu haupungui.
NINI CHA KUFANYA MBEGU ZIKIANZA KUOTA
1.Andaa udongo wa Mtoni, udongo wa msituni na mbolea ya samadi kwa Ratio ya 1:2:3 inategemea na aina ya kipimo unachotumia ila mara nyingi tunatumia ndoo
2.kata viriba vyako kuanzia cm 7 mpaka 10
3.jaza viriba vyako udongo uliouandaa
4.panga viriba vyako kwenye kivuli vizuri
5.Anza kung'oa miche angalau yenye majani mawili mpaka matatu na uichomeke kwenye viriba
6.Endelea kumwagilia maji kuhakikisha unyevunyevu haupungui
JINSI YA KUPANDA MICHE YA LIMAO SHAMBANI
1.Andaa shamba lako
2.Andaa mashimo yako, shimo liwe angalau Futi mbili urefu na Futi mbili upana (umbali wa shimo hadi shimo iwe angalau mita 5mpaka mita 7 na mstari mpaka mstari hivyo hivyo
3 weka mbolea ya samadi angalau ndoo ndogo mbili kila shimo
4.panda mche wako wa limao
Kumbuka muda mzuri wa kupanda mche wa mlimao ni kipindi cha masika
Kama hujaridhika na maelezo nitafute pm
3.
karibu SUA kitengo cha horticulture tukuhudumienimejaribu mr google anazingua tuu labda nipe link mkuu
Mawasiliano Bosskaribu SUA kitengo cha horticulture tukuhudumie
0719 527062 Karibu Pm pia muda na saa yoyote.Mawasiliano Boss
Akhsante kwa maarifa mkuuJinsi ya kuandaa kitalu cha malimao
1.Tafuta malimao yaliyokomaa, ukipata Yale ambayo yameshatia njano ni vizuri zaidi
2.kata pande mbili na ukamue zile mbegu zake kwenye chombo
3. Safisha mbegu zako kwa maji safi
4.Anika mbegu zako kama jua lipo la kutosha siku moja tu inatosha
JINSI YA KUOTESHA MBEGU ZA MALIMAO KWENYE KITALU
1.Tafuta eneo lenye kivuli ambalo halina jua kali
2.Tengeneza Tuta lako likiwa pembe nne ni vizuri zaidi
3.Lainisha udongo wa kwenye Tuta mpaka uwe laini
4.Mwaga mbegu zako kwenye kitalu
5.Funika mbegu zako kwa kutumia udongo laini ambao hauna mawe.
6.Funika na matandazo kama nyasi
7.Endelea kumwagilia maji kwenye kitalu kuhakikisha unyevunyevu haupungui.
NINI CHA KUFANYA MBEGU ZIKIANZA KUOTA
1.Andaa udongo wa Mtoni, udongo wa msituni na mbolea ya samadi kwa Ratio ya 1:2:3 inategemea na aina ya kipimo unachotumia ila mara nyingi tunatumia ndoo
2.kata viriba vyako kuanzia cm 7 mpaka 10
3.jaza viriba vyako udongo uliouandaa
4.panga viriba vyako kwenye kivuli vizuri
5.Anza kung'oa miche angalau yenye majani mawili mpaka matatu na uichomeke kwenye viriba
6.Endelea kumwagilia maji kuhakikisha unyevunyevu haupungui
JINSI YA KUPANDA MICHE YA LIMAO SHAMBANI
1.Andaa shamba lako
2.Andaa mashimo yako, shimo liwe angalau Futi mbili urefu na Futi mbili upana (umbali wa shimo hadi shimo iwe angalau mita 5mpaka mita 7 na mstari mpaka mstari hivyo hivyo
3 weka mbolea ya samadi angalau ndoo ndogo mbili kila shimo
4.panda mche wako wa limao
Kumbuka muda mzuri wa kupanda mche wa mlimao ni kipindi cha masika
Kama hujaridhika na maelezo nitafute pm
3.
Kwan yasiyo yakisasa yanaweza tumia zaid ya miaka 2Kuna jamaa huko instagram wanauza miche ya malimao yanayofunwa miaka miwili baada ya kupanda mche,yaani mbegu fupi
Ongeza maelezo kidogo ikiwemo eneo na mawasilianokwa anaye hitaji shamba zuri kwa ajili ya limao njoo pm,eka moja laki saba
Anaitwa nani?Kuna jamaa huko instagram wanauza miche ya malimao yanayofunwa miaka miwili baada ya kupanda mche,yaani mbegu fupi