Naomba kujuzwa kuhusu kilimo cha mtama na soko lake

MWANAWIMA

Senior Member
Nov 18, 2014
105
66
Wanajamvi naomba kujuzwa juu ya KILIMO CHA MTAMA tangu maandalizi ya shamba hadi uvumaji kwa hekari. Maeneo gani hasa KILIMO hili ni kizuri, masoko na usimamizi.

Karibuni wataalamu mtusaidie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom