Naomba kujuzwa kuhusu kilimo cha ulezi

Jul 8, 2021
88
165
Habari wana JF,

Napenda kujua zaidi kwa wakulima wanaofahamu kilimo cha ulezi namna ya kuandaa shamba, upandaji wake pia mavuno wastani kwa heka moja ni kiasi gani.

NB: Wanaojua tu au aliewahi kushuhudia kilimo cha ulezi na mavuno yake.
 
Nyuzi za maana Kama hizi zinakosa wafafanuzi! Angetajwa mayele hapa kila mtu angekuwa mchambuzi, kwel Vita ya kiuchumi Ni hatari Zaid kuliko vta zngne
 
Habari wana JF,

Napenda kujua zaidi kwa wakulima wanaofahamu kilimo cha ulezi namna ya kuandaa shamba, upandaji wake pia mavuno wastani kwa heka moja ni kiasi gani.

NB: Wanaojua tu au aliewahi kushuhudia kilimo cha ulezi na mavuno yake.
Ulezi unalimwa kama ngano, mkuu kama una mechanisation unapiga kitu inaitwa harrrow hii ni kulainisha udongo baada ya kulima na hapo baadae sasa unaotesha kwa planter, sema kama huna inabidi upitishe tekitana mara hata tatu nne shambani ili lilainike na baadae ndio uoteshe na una aotesha juu ya udongo kama ngano, Ulize punje zake ndi ndogo sana so zinaoteshwa juu ya udongo na unaweza pita na matawi ya mkti ukawa sasa unazifukia.

Enzi zetu tulikuwa tunapitsiha mbuzi shambani baada ya kuotesha sasa zinakuwa ile zinatembea tembea zinakuwa zinafukia punje za ulezi.
 
Ulez unalimwa Kwa style 2

Upandikizaji

Umwagaji tu sambani

1: Upandikizaji

Ulezi unaota vzur na kustaw kwenye shamba jipya Kwa kule kwetu tunaotesha ulez kwenye majivu ambayo Miti iliungua pindi shamba linaandaliwa
Ukishaotesha hapo baada ya muda unang'oa na kwenda kupandikiza ktk matuta yako na baada ya hapo hatua zingine zitaendelea

2: kumwaga

Ukishaandaa shamba lako chukua mbegu mwaga tu zikiota hatua zingine hufuata had kuvuna
 
Hio number moja sijawahi kutana nayo,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom