ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,280
- 4,236
Kwa faida yangu na kwa faida ya wengi kwanini uistuoe A na B za hii biashara uko Tanga sehem gani ama wilaya gani je wanauza sh ngap ngap kwa kilo na vitu kama ivyo pia usisahau kuhusu ubora wake na mambo mengine bossIliki inapatkana Sana tanga but ishu uwe namtaji mkubwa machimbo yapo mengi tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app