Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

Kama una hela ya kulipia cash bila janja janja wala longo longo ni PM nikupe maelekezo pakuipata,hata ukitaka tani 100.
Ila niambie kwanza utanunua kwa kilo bei gani ili na mm niweke changu cha udalali,ila km ww ni dalali km mm hauna hela wala shamba tutashindwana.
 
watafute raystar export limited wanasource dunia nzima 0652472486


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sasa pm nakutumia namba yangu
Tubonge mm ntakulink kwa wakulima moja kwa moja hko usambara mountain's
Ambao hao wananikusanyiaga na mm

Usijali mm syo mchoyo wa connection

Ova
Habari naomba na mimi namba nilikuwa nahitaji hiliki asante
 
Nilifanyaga research ya iliki siyo kulima ila ni wapi zinapatikana kwa wingi kwa bahati nilienda sehemu za lutindi,tanga huko nlizunguka vijiji kama 5 kieti,tamota,masangi,nguru,bungu kote huko nlikutana n'a zao la iliki na huko kg1 wanauza 14000 mpaka 16000 n'a kwa dar huku wanauza 25000 mpaka 26000 kwa kg wakomoro wananuua juu kidogo ya hapo......soon ntarudi tena huko kwa ajili ya kununua na kuwa supply watu wangu

Morogoro pia ipo sehemu fulani fulani ila iliki ya tanga wanasema ni the best hata iliki ya india haifikii

Soon nabadilisha tena gia angani mtamuona mrangi kwenye biashara ya mazao maana jiwe lishabuma mh kabana
Ila kwa wabishi kama sisi hata ukibana huku sisi tunapiga kule


OVA
Usisahau fika pande za Ambangulu ya wasambaa, Kizumba, Mashindei, Tamota, Ngua, Kwemn'tindi, Lewa na Kwebago. Huko Iliki ndo pande zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom