Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

Waungwana kuna hii biashara ya Hiliki wanasema unatoa Tanga mzigo na kuuleta Dar kisha unawauzia wauzaji wa jumla ama ama wapemba

Sasa mwenye A na B za hii biashara tafadhalini naomba mnipe uzoefu wenu na ufahamu wenu kuhusu masoko hasa kwa hapa Dar.

Mfano:

Soko lake lake la uhakika liko wapi? Je, tofauti na Tanga ni sehemu gani nyingine ambako naweza kwenda kupata zao la hiliki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma nikafikiri HIRIZI halafu na hiyo tanga ndio kabisa
Mkuu inaitwa Hiliki au cardamom


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom