Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

bado hujacheza gemu, kucheza gemu anza ukiwa zero mpka uje ufikie uwe professional na Euro zakutosha na garage zako
Hii game shacheza Sana bila mods na nilifika mbali tu, mods pia zinaongeza ladha zaidi ya game.
 
Anaejua kuondoa Speed limit ya 90KPH!
images (35).jpeg
nenda option, game play, then toa tick kwenye truck speed limitor utaenda zaid ya 200kph kulingana na gari yako
 
Bado mkuu...ila soon tu nafkri ataachia

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Bado mkuu...ila soon tu nafkri ataachia

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Pamoja mkuu natumia 1.32
si unajua tena si wazee wa rough road
Midibwi ya haja madaraja hatari milima kitonga haioni ndani yaan ugongwa wangu kwenye hii ni barabara za vumbi tu yaan zile map za barabara mbovumbovu km za kibongo
 
Pamoja mkuu natumia 1.32
si unajua tena si wazee wa rough road
Midibwi ya haja madaraja hatari milima kitonga haioni ndani yaan ugongwa wangu kwenye hii ni barabara za vumbi tu yaan zile map za barabara mbovumbovu km za kibongo
Hahah naelewa...kuna mods moja ya russian baikal ,,,ina hatar

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Back
Top Bottom