Wakujilipua
JF-Expert Member
- May 5, 2018
- 1,591
- 1,391
hahaahahhahahaaWatu wanapenda muungurumo wa gali, pia Renault ni habari nyingine mzee inaunguruma vzr sn.
mwenye renault yake unapitaga hii mitaa kweli?
ebu ukuje ucoment tafadhari.
hahaahahhahahaaWatu wanapenda muungurumo wa gali, pia Renault ni habari nyingine mzee inaunguruma vzr sn.
ni wewe tu ndo umechelewa, kalibia wana woote humu wanakipiga onlineSi tuame tucheze multiplayer jamanView attachment 1827569
Mm na ngoja promod itoke sitaki kufungua profile mpyani wewe tu ndo umechelewa, kalibia wana woote humu wanakipiga online
ni wewe tu ndo umechelewa, kalibia wana woote humu wanakipiga online
YapKua mnakua mnacheza kama mnasafiri pamoja
unafanyaje sasa ili mcheze pamojaKua mnakua mnacheza kama mnasafiri pamoja
na vipi kuhusu map kama mtu ana map nyingine tofauti inakuwaje mzee mwaga mautundu mi napiga route yatima kumbe inawezekana kucheza mult bhana halafu nimeona mibus ya bongo huwa mnaambiana kwamba tuingie tucheze au inakuajeunafanyaje sasa ili mcheze pamoja
heheehheehheh!!!!! jamii forum bana imeficha ID za watu wengi, yaani kama vile hatuelewani humuna vipi kuhusu map kama mtu ana map nyingine tofauti inakuwaje mzee mwaga mautundu mi napiga route yatima kumbe inawezekana kucheza mult bhana halafu nimeona mibus ya bongo huwa mnaambiana kwamba tuingie tucheze au inakuaje
Wazee wa road trip heshima kwenu kimejipiga piga nimechukua pc kitu cha kwanza kuweka ETS sasa naomba kujuzwa ni namna gani nicheze bila kuharibu bettry yangu... View attachment 1836128
Sawaa mkuuWakikujibu ni tag mzee
HONGELA mkuuWazee wa road trip heshima kwenu kimejipiga piga nimechukua pc kitu cha kwanza kuweka ETS sasa naomba kujuzwa ni namna gani nicheze bila kuharibu bettry yangu... View attachment 1836128
HONGELA mkuu
ukihitaji battery liweze kudumu muda mrefu fanya mambo yafuatayo.
1]hakikisha unaitoa hiyo battery kwenye pc pindi unapohitaji kucheza game lolote lile,
hii ni kwa sababu pc inaporun game lolote lile huwa inatumia nguvu kubwa.
2]epuka kucheza game ukiwa kwenye godolo
kwenye picha hapo ninaona unacheza ets2 kwenye godolo,jaribu kutafuta sehemu ambayo hewa inaweza kupita sehemu zote au kama kuna feni hapo hakikisha unaiwasha na unalielekezea kwenye pc kipindi unacheza game.
3]usicheze game ikiwa haujaunganisha umeme kwenye pc
hii kitu inauwa sana battery yaani unakuta mtu anacheza game kwenye pc ilihai umeme umeme ulikatika/haupo kisa tu pc ina battery anaamua kucheza game hivyo hivyo ndugu epuka kufanya hivyo hata kama umefika kwenye mission nzuli kiasi gani.
kwa kufanya hivyo battery la pc yako utaifanya iweze kukaa muda mrefu.
kwa ninayoyafahamu ni hayo tu niachie wadau wengine waongezee
mkuu Shukrani sanaa... Kwa msaada wako... Nitautendea kazi...HONGELA mkuu