Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

@kata shime officiar
IMG_3705.jpg

Hongera mkuu
Nikienda 40 nakuchek boss
 
Ndio ina download mkuu
Naomben rough road za 1.40
1)harsh russian siberia
2)mapa eaa
3) mario map
4)map of russia n.b hii ni mpya kbsa
5)icrf reloaded hii nayo kwangu mimi ni mpya
6)vanessa map
7)project japan

Nyingine ngumu ngumu labda aje k camp
 
Pia wale wa murtiplayer
1.41 ni buree

Kikubwa tengeneza account steam kisha uta download game (ets2) gb 13
Kisha utajumuika na wenzio online.
 
Wakuu embu nielekezeni apa nataka wataalamu wa it jinsi ya kuweka hela paypal ili niweze kulipia ile map ya roex extended na promod ili niweze kucheza kwenye maeneo magumu nicheze kwenye map combo zikiwa kwa pamoja +Poland ribuld rus map na nyingine nyingi

Sent from my TECNO Camon CXS using JamiiForums mobile app
 
kuna link ya map ilipostiwa humu, bas nikachukua den nikadownload baada ya kue extract ilo file vimekuja vitu ivii, so naomba msaada nini kinafuata baada ya hapa wakuu...
JPEG_20210715_122312_7322003722162376642.jpg
 
kuna link ya map ilipostiwa humu, bas nikachukua den nikadownload baada ya kue extract ilo file vimekuja vitu ivii, so naomba msaada nini kinafuata baada ya hapa wakuu...
View attachment 1854618
Copy izo file mwisho zimeandikwa scs kisha nenda kwenye document kisha fungua file la euro truck kisha file la mod kisha pest ivyo vi file uko kisha washa game lako endelea na mambo mengine ila hakikisha version ya game na mod vipo sawa

Sent from my TECNO Camon CXS using JamiiForums mobile app
 
Wakuu embu nielekezeni apa nataka wataalamu wa it jinsi ya kuweka hela paypal ili niweze kulipia ile map ya roex extended na promod ili niweze kucheza kwenye maeneo magumu nicheze kwenye map combo zikiwa kwa pamoja +Poland ribuld rus map na nyingine nyingi

Sent from my TECNO Camon CXS using JamiiForums mobile app
1.Tengeneza mpesa au Airtel mastercard kisha link na PayPal.
2.Hamisha pesa kutoka mpesa au Airtel money kwenda mastercard
3. Hamisha pesa toka mastercard kwenda PayPal
4. Lipa kwa PayPal
 
Copy izo file mwisho zimeandikwa scs kisha nenda kwenye document kisha fungua file la euro truck kisha file la mod kisha pest ivyo vi file uko kisha washa game lako endelea na mambo mengine ila hakikisha version ya game na mod vipo sawa

Sent from my TECNO Camon CXS using JamiiForums mobile app
nishafanya iv lkn bado mkuu
 
Hilo faili la u torrent nalipatia wapi mkuu...Mana nashindwa ata kudownlod movie

Fanya hivi mkuu
Ingia google andika Bit torrent download for window(andika window yako hapo)
Kisha ita tafuta na kukupa link ya moja kwa moja hadi kwenye ko download
Nadhan application sio kubwa ikisha downlod install hiyo program kisha iache
Kuna link ziko huku za games za ets2 zitafute au muombe @kata shime officiar @kcamp wakupe imgawa zipo humu tena mim nimepewa juzi tu ya 1.40
Ukifungua hiyo link ita kupeleka moja kwa moja kwenye web ya hiyo game
Na utaona pale torrent zimejipanga
Uki click kwenye u torrent uta ok then bit torrent itaanza ku downlod geme yenyewe
 
Back
Top Bottom