FAHAMU: Jela Hakuna Pesa Taslimu wala Simu

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
9,279
Reaction score
13,707
Nafuatilia kwa umakini utapeli ambao unaendeshwa na chama cha Demokrasia na Maendeleo kupitia kwa kiongozi wao ambaye Yuko Gerezani Tundu Antipas Lissu

Kwa kuwafungua masikio na macho watanzania nawaambia gerezani pesa taslim, Simu haziruhusiwi lakini pia kama mtu anaumwa serious uko utaratibu wa kupelekwa hospital na wafungwa pamoja na mahabusu huwa wanatibiwa free of charge katika hospital za Public na hairuhusiwi kwa mfungwa wala mahabusu kutibiwa hospitali za private

Hivyo nawasanua watanzania mnajaza vitambi vya watu kwa hizo jero jero zenu afadhali hata ununulie vocha wanasema zimefika 20million ni kiasi kikubwa halafu hata matumizi hayajaanishwa

Think critically kabla hujaingia katika scammers project huu utapeli ni cheap sana ni suala la reasoning tuu.

Epuka matapeli wa mitandaoni.
 
Ninyi ndio wale ambao huwa mnawaonea wivu wale waliowabeba tumboni miezi sita kwa wapenzi wao.
 
Nafuatilia kwa umakini utapeli ambao unaendeshwa na chama cha Demokrasia na Maendeleo kupitia kwa kiongozi wao ambaye Yuko Gerezani Tundu Antipas Lissu

Kwa kuwafungua masikio na macho watanzania nawaambia gerezani pesa taslim, Simu haziruhusiwi lakini pia kama mtu anaumwa serious uko utaratibu wa kupelekwa hospital na wafungwa pamoja na mahabusu huwa wanatibiwa free of charge katika hospital za Public na hairuhusiwi kwa mfungwa wala mahabusu kutibiwa hospitali za private

Hivyo nawasanua watanzania mnajaza vitambi vya watu kwa hizo jero jero zenu afadhali hata ununulie vocha wanasema zimefika 20million ni kiasi kikubwa halafu hata matumizi hayajaanishwa

Think critically kabla hujaingia katika scammers project huu utapeli ni cheap sana ni suala la reasoning tuu.

Epuka matapeli wa mitandaoni.
Umechangia lakini?Namba zinazo tumika kwa ajili ya miamala umeiona?
 
Pilipili ya shamba.
 
MTOA MADA USIWE "LOFA" UTAPELI UPO KILA SEHEMU KWA NYAKATI TOFAUTI MAISHANI..
UKIANZIA KWA WAZAZI WETU WALIOTUZAA KUNA NAMNA HUWA WANATUTAPELI ILA SIO WAZAZI WOTE, SERIKALI,MARAFIKI,NDUGU,KWENYE BIASHARA AU KAZI,VIONGOZI WETU DINI NK NK
 
Waona wivu? Mbona hukumuonea mama yenu wakati sabita singasinga na genge lote la wapigaji wanamjazia mabilioni ya kuulia vijana? Hii milioni 20 tu inataka kukutoa roho chawa? Mmekalia hazina mnajochotea tu na zingine kwa milango ya nyuma mnaumizwa na miamia za Genzee?
 
Unafanya siasa za kishamba sana, ni siasa za nchi za dunia ya tatu ambazo hazijaelimika, siasa za chuki na husuda
 
Back
Top Bottom