Fahamu historia ya Mama Sophia Mathew Simba

Sophia Simba ni bomu kweli kweli; ana sema mkataba wa ile nyumba ya UWT pale Morroco haufai hata nukta moja!! Mkataba wa kujenga nyumba ile baada ya kubomoa GOGO hotel ulitekelezwa Anna Abdalla akiwa mwenyekiti wa UWT, kwahiyo kwa kuuponda mkataba huo anamponda Anna Abdalla na viongozi wote waliokuwepo hapo kabla yake!! Kama kweli mkataba hauna maslahi kwa UWT , inaonesha wazi mapungufu yaliyopo CCM kwani mradi mkubwa kama huo lazima ungetakiwa kupata baraka za NEC ya ccm kama ilivyotokea utata kwenye mradi wa jengo la Umoja wa vijana ambapo NEC ya CCM iliamuru mkataba uangaliwe upya!! Huyu mama hafai kuwa kiongozi kwani hana maadili; alikuwa anafanya ufuska na Kitwana Kondo huku akijua kuwa ni mume wa mtu ; kwahiyo nadhani hata sasa anaendelea na tabia hiyo ambayo ni hatari kwa usalama wa nchi yetu kwa waziri wa sehemu nyeti kama hii ya UTAWALA BORA!![/QUOTE]

Umeipata wapi hii conclusion tena? sijaona katika interview hii kama unaweza kupata conclusion hiyo. Kama huko interested, tafuta mme wake alifariki lini, jua alizaa lini na KK, halafu utoe conclusion yako hiyo. Siyo kijiwe hiki.

Waberoya ukisoma vizuri mahojiano ya huyu mama kama yalivyoandikwa, kuna mahala anakili kuwa hakuwahi kuolewa na Kitwana Kondo lakini anamtoto wake wa kiume!! Pia anakili kuwa alipokuwa na mahusiano na KK huyu babu alikuwa na mkewe!! Majibu yake haya ndiyo yamenifanya nifike conclusion ya kuwa hana maadili!! Upo hapo mkuu?
 
Huyu mama ni muwazi kwa kweli. Raia Mwema: mtafuteni na mama Anne Killango atueleze kidogo historia ya maisha yake. Najua hatakubali ingawa "anasingiziwa" mengi.
 
Acha mambo mengine, namuona huyu mama amepungua hekima katika kujieleza, and I have seen this throughout since she became a Minister. There are things you just dont say to people - like najua kufungua vizibo vya bia. Unataka watu wakuchukulieje hapo? Au unasema uliolewa 1972 ukazaa watoto wawili, halafu mwaka 1975 ukawa na mahusiano na mume wa mtu, yani ina maana ulikuwa tayari umeshaachana na huyo mumeo au ulikua naye na Kondo pia? Na hao watoto uliwazaa lini na ukawa na uhusiano na Kondo lini, yani kama ndoa 1972, basi watoto may be 1972 au 1973 na 1975 au hata kama ni 1975 basi ulikua unanyonyesha na una affair. Yani kadiri ninavyochambua zaidi, naona somuelewi kabisa. Her statements leave a lot to be desired, given her position.
 
Waberoya ukisoma vizuri mahojiano ya huyu mama kama yalivyoandikwa, kuna mahala anakili kuwa hakuwahi kuolewa na Kitwana Kondo lakini anamtoto wake wa kiume!! Pia anakili kuwa alipokuwa na mahusiano na KK huyu babu alikuwa na mkewe!! Majibu yake haya ndiyo yamenifanya nifike conclusion ya kuwa hana maadili!! Upo hapo mkuu?

Aha ha ha nimekuelewa mkuu! ila napenda kupanua wigo wa discussion kutokana na conclusion yako, I may be in your side or not, so dont get irritated nataka tujadili, tufikie wote kucheka. Asante umenikumbusha kuwa KK alikuwa ameoa, nadhani yeye anaweza akawa na nguvu za dini yake kuwa ina mruhusu( may be) ila kwa SS na ukatoliki wake alikosea kabisa!
 
Tunapaswa KUWAJUA viongozi wetu wa KITAIFA na sio kuwafahamu tu. Mama Simba ameonyesha mfano kidogo ingawa mwandishi hakumuuliza kuhusu ugombeaji wake wa Uenyekiti wa UWT, uhusiano wake na JK hadi kumteua kuwa Mbunge halafu waziri; biashara zake,.....
 
Acheni unafiki ambao unachochewa na chuki binafsi. Mwanzo wengi walikuwa huyu mama ni mbumbu lakini from the interveiw mmepata data kuhusu elimu, uzoefu na maisha yake.
The woman has been very frank with details of her personal life. How many of us do have such guts?[she's a man and a half] Kuwa na mahusiano ya mapenzi ni kitu cha kawaida na angekuwa amefanya hivyo akiwa ndani ya ndoa ingekuwa jambo jingine kabisa. Please let her be wacheni unafiki wengi wenu mmetembea nje ya ndoa na kuzaa pia lakini wangapi wanaweza kuwa frank kama yeye???????
 
Nitarudi baadae kuhusu huyu Mama wa Kizaramo , Mhe Waziri wa Utawala Bora :- Inaonekana kweli anajua utawala bora kwa wanaume, sina uhakika kama anaingia humu jamvini. Maana kuna issues ambazo zina utata, napata shida kuamini kuwa Waziri wa Utawala Bora, mkristu kwa dini -kukiri kufanya uasherati na mume wa mtu hadharani. Huyu anatufaa kweli kuwa Waziri au mfano kwa Watanzania? wanawake wa CCM? Shame on you Mama Simba. Kazaliwa 27 July 1950 ,Hajasema alifanya kazi na mwanaume wa shoka Moroni pale AICC sijui nani alimpokea mwenzake, hajasema ashakua pia Director huko AICC na ATC enzi hizo, au yaelekea Bwana Kubenea and Co. waliomfanyia interview walikua na interest na Mama Simba na Ndoa ndoano.
 
Sera za chama chao kukosoana ni kitu cha kawaida na ndiyo maana wameweza kufika hapa kwani hawafungwi ki mawazo.
 
Kwa kweli huyu mama mimi namkubali sana for sure namuadmire ile mbaya. kwanza ni jasiri, hana woga na pia anafanya mambo yake kwa mipango. Sasa unajua sisi waswahili siku zote hatupendi watu waliokuwa strictly kwa kufuata sheria, ila tunapenda wale laserfare ambapo hakuna lolote la msingi, mama anakuchana live. Ndio maana hata hivi vidume vinashindwa kumuingia kwa sababu kama huna sera za msingi anakutosa. Kazi njema mama Simba, komaa hivyo hivyo, maneno yapo tu hata kwenye kanga yamo. Na pia kumbuka kwamba si wote watakao kutakia mema, wengine wivu tu wanakuonea
 
Nitarudi baadae kuhusu huyu Mama wa Kizaramo , Mhe Waziri wa Utawala Bora :- Inaonekana kweli anajua utawala bora kwa wanaume, sina uhakika kama anaingia humu jamvini. Maana kuna issues ambazo zina utata, napata shida kuamini kuwa Waziri wa Utawala Bora, mkristu kwa dini -kukiri kufanya uasherati na mume wa mtu hadharani. Huyu anatufaa kweli kuwa Waziri au mfano kwa Watanzania? wanawake wa CCM? Shame on you Mama Simba. Kazaliwa 27 July 1950 ,Hajasema alifanya kazi na mwanaume wa shoka Moroni pale AICC sijui nani alimpokea mwenzake, hajasema ashakua pia Director huko AICC na ATC enzi hizo, au yaelekea Bwana Kubenea and Co. waliomfanyia interview walikua na interest na Mama Simba na Ndoa ndoano.

KK kama tulivyo wengi ni MBA(Married But Available) holder. Mama Simba analaumiwa kwa lipi wakati mumewe alishavuta?
 
Inaonyesha Zain wamepanga hapo Morocco. Je, ni nani mmiliki halisi wa mkataba huo( yaani Developer aliyeingia mkataba na UWT)? Mkataba wa miaka 33 si mchezo unaongelea kizazi kimoja; Kazi kweli kweli
 
KK kama tulivyo wengi ni MBA(Married But Available) holder. Mama Simba analaumiwa kwa lipi wakati mumewe alishavuta?

Ndfio ni vyema kwa viongoziu wetu kuwa wawazi, lakini kama public figure kuna mambo mengine hasa ya historia ya maisha yako sio lazima public iyajue, kwa nafasi aliyo nayo Sophia hakukuwa na haja ya kujisifia kuwa yeye ni retired bar maid ( si anauzoefu wa kufungua vizibo) sijui labda uzoefu huu wa kufanya kazi baa ndio unaathir kauli zake hadi leo (refer utetezi wake kwenye kamati ya mwinyi). lakini pia love life yake ni utata, hasemi Cliff alikufa lini, kama aliolewa na Cliff mwaka 1972, akazaa nae watoto wawili (possibly between 1973-1974) na 1975-1983 akawa na uhusiano na KK ni wazi she was chitting on her husband leave alone dating a married man! hii ni wazi inapunguza credibility yake kwa jamii kama waziri na hasa kama mwanamke na mama pia! ni wazi kama MH wasingemuuliza juu ya KK asingesema, je ni wanaume wangapi amekuwa na uhusiano nao kati ya 1983 -todate baada ya kuachana na KK! Shangazi ushauri wa bure tu ( kama huwa unalog in JF) you should always put your brain into a gear before to accelarete your tongue!
 
Ukitaka kujua uwezo wake kichwani wewe angalia alivyojibu swali la kwanza! Tulio wazazi tuangalie sana namna ya kulea watoto wetu - kama wewe ni mwenda baa usiende nao kwani matunda ndio hayo. Mbona hajaelezea uanaume wa shoka wa yule jamaa, EL? Nina wasiwasi marehemu baba yake alikimbia shule! Hivi wakati anaanza na Kitwana Kondo mumewe alishafariki? Na kwa dini na dhehebu lake anatakiwa kutubu kwa kuvunja amri ya sita ya Mungu ingawaje ni siri yake. Michanganyiko kama hii uleta matunda mabovu - baba mwisilamu kawa mkristu wa Kiluteri, haya mama sista wa RC kaacha na kuolewa - sasa sijui aliaachishwa baada ya kupata mimba ya Bw. Mathew.
 
Inaonyesha Zain wamepanga hapo Morocco. Je, ni nani mmiliki halisi wa mkataba huo( yaani Developer aliyeingia mkataba na UWT)? Mkataba wa miaka 33 si mchezo unaongelea kizazi kimoja; Kazi kweli kweli

yusuph Manji
 
amekuwa wazi sana ,

katka mahusianao alikuwa hajatulia
mwaka 72 aliolewa na msouth ambaye wamezaa nae watoto 2, mwaka 75 akawa nza mahusiano na mzee kondo akazaa nae mtoto 1

alikwa kicheche kimtindo, hajasema kwa sasa anakwapiuliwa na nani

Yeye kama kiongozi anasitahili kupongezwa kwani amekuwa muwazi kwa kuanika mambo yake binafisi ya mahusiano. Nimefurahishwa pia na ujasiri wake wa kupeleka NEC pendekezo la ukomo wa ubunge wa viti maalumu kwani itasaidia kina mama wengi wengine kupata nafasi ya kuingia bungeni kuleta mawazo mapya pamoja na kuwapa kinamama uzoefu wa kugombea katika majimbo
 
Ukitaka kujua uwezo wake kichwani wewe angalia alivyojibu swali la kwanza! Tulio wazazi tuangalie sana namna ya kulea watoto wetu - kama wewe ni mwenda baa usiende nao kwani matunda ndio hayo. Mbona hajaelezea uanaume wa shoka wa yule jamaa, EL? Nina wasiwasi marehemu baba yake alikimbia shule! Hivi wakati anaanza na Kitwana Kondo mumewe alishafariki? Na kwa dini na dhehebu lake anatakiwa kutubu kwa kuvunja amri ya sita ya Mungu ingawaje ni siri yake. Michanganyiko kama hii uleta matunda mabovu - baba mwisilamu kawa mkristu wa Kiluteri, haya mama sista wa RC kaacha na kuolewa - sasa sijui aliaachishwa baada ya kupata mimba ya Bw. Mathew.

Samahani baba yake alikuwa Anglikana kwani alibatizwa St. Alban!
 
Inaonyesha Zain wamepanga hapo Morocco. Je, ni nani mmiliki halisi wa mkataba huo( yaani Developer aliyeingia mkataba na UWT)? Mkataba wa miaka 33 si mchezo unaongelea kizazi kimoja; Kazi kweli kweli

Yusuf Manji
 
Back
Top Bottom