Ngisibara
JF-Expert Member
- Jan 2, 2009
- 3,303
- 2,079
Yusuf Manji
CCM na Manji kama uji na mgonjwa
Yusuf Manji
Muungwana kamteua Bi Husna Mwilima kuwa mkuu wa wilaya jina limenitoka kidogo,ina maana nafasi ya ukuu wa wilaya wanateuliwa hata wasiokuwa na elimu ya kutosha.
Kabisa! Kwa historia hii:kweli mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
Historia yake nzuri....
Kwa kweli huyu mama mimi namkubali sana for sure namuadmire ile mbaya. kwanza ni jasiri, hana woga na pia anafanya mambo yake kwa mipango. Sasa unajua sisi waswahili siku zote hatupendi watu waliokuwa strictly kwa kufuata sheria, ila tunapenda wale laserfare ambapo hakuna lolote la msingi, mama anakuchana live. Ndio maana hata hivi vidume vinashindwa kumuingia kwa sababu kama huna sera za msingi anakutosa. Kazi njema mama Simba, komaa hivyo hivyo, maneno yapo tu hata kwenye kanga yamo. Na pia kumbuka kwamba si wote watakao kutakia mema, wengine wivu tu wanakuonea
Alifanikiwa sana kwa shughuli za baa. Mimi ni mtoto ambaye nimesomeshwa kwa pesa za pombe. Baba yangu alikuwa na baa inayoitwa Uzaramo Bar, Morogoro lakini pia alikuwa na baa inayoitwa Simba Bar. Kwa hiyo, mimi kufungua vizibo vya bia najua
sasa nimepata jibu la chanzo cha akili zake za mawenge, huyu dada alikunywa pombe mapema alipokua akihudumia walevi katika bar ya babake.
hii imemuathiri ubongo....mmmh huyu anatisha.
Na hakuishia kunywa nao tu.....
Si useme tu - kuwa mnapata USD 120,000 kwa mwaka wakati 'mwekezaji' anatengeneza about USD 2m kwa mwaka huo huo? Halafu 'mwekezaji' kakopa NBC, kajenga kupangishia Celtel. Swali: Nyie UWT mlishindwa nini kwenda NBC kukopa kuwajengea Celtel office? Kisha unasema eti - tumejifunza! Miaka 33 inapotea hivi hivi tu, kiongozi anatuambia 'wanajifunza'! Na kama hilo limewashinda (wanajifunza) ni yapi wanayoweza? Kwa mtaji huu umaskini hauwezi kuisha Tanzania.
baada ya kunywa nao alitoa glass mezani kisha
Mkuu hata mie hii imenipa tabu kidogo kuingia akilini ina maana ukuu wa wilaya na hiyo post ya ukatibu wa uwt ipi inamjukumu ya kiutendaji zaidi hasa ukizingatia elimu.Au mama sophia nataka kutuabia rais naye kapotoka kumchagua husna kuwa dc maana mama simba anadai yeye alipitiwa kuchangua kuwa msaidizi wake. o h god hii inchi ni wapi tunaelekea jamini?