Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,182
- 1,490
Asante kwa UshauriKuna aina zaidi ya mbili ya petrol ila common kwa Tanzania ni unleaded pamoja na Super
1.Super
hii ni aina ya petrol ambayo ni nzito na maana haiko purified mpaka mwisho.
Unapoweka haya mafuta ni kuwa mwangalifu especially ukiwa waweka kwenye gari za kisasa zinazotumia nguvu/umeme mkubwa. kuweka super kunaweza sababisha misfire na uliweka haya mafuta utaona gauge inapanda taratibu.
Sababu haya mafuta ni mazito hata consuption pia inaenda pole pole ni sawa umimine uji na maji kwenye caro la majitaka kipi kitawahi kuisha?
2. Unleaded.
Haya mafuta ni ambayo yako purified mpaka mwisho/mafuta mepesi... uchomaji wake ni mzuri na mara nyingi gari inakua na nguvu zaidi ukiwekea unleaded
consuption ni kubwa ila gari inakua na nguvu
Petrol stations zinazoza unleaded ni pamoja na engine,puma,total na nyingine
na ambazo zimejikita kwenye super ni oilcom, camel oil, gbp na nyingine
kwenye prices mara nyingi super inakua chini kidogo ya unleaded chukulia mfano camel oil na gbp ukilinganisha na puma na total
mnaotumia lexus,nissan teana, fuga etc yaninkwa kifupu gari za kisasa zinazotumia umeme mwingi nawashauri mtumie unleaded
nimeproove hili kila nikiweka super kwenye nisasan teana lazima taa ya check engine iwake which is not the case napotumia unleaded