Fahamu haya unapoenda weka mafuta hasa petrol

Maelezo sahihi. Asante sana. Kwa kuongezea tu, wengi wetu huwa hatuna utamaduni wa kusafisha matenki ya mafuta ya magari yetu. Gari ya mwaka 2000, na unapenda kuweka Lita tano tano, na wakati unawekewa mafuta huzimi injini, mafuta yanaingia kwa msukumo mkubwa kwenye tenki na yanavuruga uchafu, pump inavuta uchafu unaingia kwenye nozzle, zinaleta shida. Hapo kwa haraka haraka mtu atalalamika kauziwa mafuta machafu.

Kuzima gari wakati wa kuweka mafuta ni ustaarabu unaosaidia si kuepusha ajali za moto tu, Bali pia hata kukufanya upate muda wa kufanya uchafu wa tenki usivutwe kwenye injini.
Asante kwa elimu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom